Hoppity Cywale Senior Member Joined Aug 20, 2013 Posts 126 Reaction score 29 Jan 29, 2014 #1 AMUCTA kikaangoni leo.sup tano,kwenu.
WISE BOY JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 782 Reaction score 244 Jan 29, 2014 #2 Aisee, na ww ni msomi wa chuo kikuu? Kwa uandishi huu? Mungu saidia
Sinewy JF-Expert Member Joined Aug 20, 2012 Posts 368 Reaction score 173 Jan 29, 2014 #3 ndio nini sasa ulichoandika
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,670 Reaction score 11,771 Jan 29, 2014 #4 WISE BOY said: Aisee, na ww ni msomi wa chuo kikuu? Kwa uandishi huu? Mungu saidia Click to expand... Mulugo na mwenzie Kawambwa wametuharibia sana watoto wetu. Kama graduate mtarajiwa anaandika takataka namna hii, hali ikoje sekondari za kata?
WISE BOY said: Aisee, na ww ni msomi wa chuo kikuu? Kwa uandishi huu? Mungu saidia Click to expand... Mulugo na mwenzie Kawambwa wametuharibia sana watoto wetu. Kama graduate mtarajiwa anaandika takataka namna hii, hali ikoje sekondari za kata?
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Jan 29, 2014 #5 tayari una automatic supp kwenye hilo somo la leo! Jiandae kwa September Conference!