Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Binafsi nimehitimu shahada yangu ya kwanza mwaka 2012 na kupata ufaulu murua tu wa upper second, ila hadi sasa nafanya shughuli zangu za kawaida tu kutokana na ugumu wa kupata ajira kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tusiilaumu serikali kwa matokeo ya FORM FOUR,kama kuna vijana wamepata division one,two,three & Four na hao wa Zeros ni haki yao pia. Kuna watu wanapenda kuleta siasa kwenye masuala ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hapa ni kwa shule za government 1.walimu wanaiba pesa za chakula,wanafunz wanaona sumu inatengenezwa 2.shule ina rasilimali zakutosha ,pesa Zote zinaliwa hauoni paper ya kitabu...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
jamani wana jamvini, je mpo mliosoma Chang'ombe Primary School? shule ya mazoezi ya Chuo cha Ualimu Chang'ombe ambacho sasa ni Chuo Kishiriki cha U Dar, hebu tuwakumbuke baadhi ya walimu ambao...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
TUSIIME PRIMARY SCHOOL - P0202083 WALIOFANYA MTIHANI : 158 WASTANI WA SHULE : 230.0063 NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 1 kati ya 99 NAFASI YA SHULE KIMKOA : 1 kati ya 486 NAFASI YA SHULE KITAIFA...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
nashangaa mtihan ulifanyika sept hadi hivi leo matokeo hayajatokaz,ukiwauliza wahusika wanapiga chenga,watoto wamekaa tension kila iitwapo leo. anaejua sababu atujuze jamani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
We are Professional in converting of pps to recommended size 4kb as per NECTA requirements.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapi naweza kudownload vitabu free mwenye link anisaidie wanajamiiforum.
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Utakuta Mzazi yuko nyumba ya kupanga,mtoto yuko English medium ya Tsh million moja(chekechea), kipato cha mzazi ni laki 2.5 kwa mwezi…….., hana kiwanja wala nyumba…..JE, ni sawa?.... kufanya jambo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania kwa sasa imesheheni vyuo vikuu vingi, kwa mfano mdogo kuna Mikoa ina vyuo vikuu vitatu na kuendelea. Ni maendeleo mazuri! Ubora wa Elimu unaotolewa katika vyuo tulivyonavyo ukoje na...
0 Reactions
67 Replies
15K Views
Nilikuwa nipo maeneo fulani hivi tukiwa na baadhi ya watu wazima ambao pengine naweza kusema wameona mengi hapa Tanzania. -mzee mmoja akauliza nasikia wanasema udsm kimekuwa chuo cha nne...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
nimesoma 'Bachelor of Arts with Education' -Linguitics na History pale UDSM,natafuta kazi ya kufundisha shule ya sekondari.nina uzoefu wa miaka minne ya kufundsha(shule binafsi).Namba 0753275322
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimesoma 'Bachelor of Arts with Education' -Linguitics na History pale UDSM,natafuta kazi ya kufundisha shule ya sekondari.
0 Reactions
0 Replies
980 Views
WAKUU NAOMBA KUJUZWA GHARAMA MASTERS ZA KOZI HIZO HAPO JUU ESPECIALLY KWA VYUO VIKUU VINAVYOTOA MASTERS ZA HIZO KOZI HAPA DAR ES SALAAM. Thanks,
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Sidhani kwa elimu yetu ya leo hata hao Form Four wanatosha Ubunge, lakn tujadili
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa) 2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu) HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Access to ICTs by Designated Groups The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) in extending its effort of promoting usage of ICTs by designated...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
wadau nimetumiwa link hii hapa chini, mwenye access anichekie 2CashSite.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vijana waliohitimu darasa la sabu wamechaguliwa kuendelea na masomo ya sekodari, waliochaguliwa wamefurahi, wapo wale ambao hawakuchaguliwa, hao wamenuna, mioyo yao imesononeka. Tafakuri Je Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na utaratibu wa bodi ya mikopo kutumia kigezo cha mwanafunzi ambaye amesoma shule za private kukosa sifa ya kupata mkopo wa bodi kwa ajili ya High learning Institution. Mimi napingana...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom