Takribani siku tatu zimepita tokea post za ualimu zitangazwe na tamisemi,ila kinachonishangaza ni kutokupangiwa vituo vya kazi wanafunzi waliosomea shahada ya sana na ualimu katika chuo cha St...
je wew ni mmoja wapo wa wale walikosa post za ualimu(diploma)
kama upo tayar na unataka kuajiriwa naomba tuwasiliane 0764616352
NB.mkono mtupu haulambwi
Katika hali ya kusikitisha serikali imewatelekeza walimu wanafunzi wa vyuo vya ualimu vya CHETI pamoja na Stashada ambao wapo kwenye mazoezi ya Muda mrefu ya kufundisha (BTP). Tarehe 3 mwezi huu...
hapa, nilipo nipo sekomu, takribani wanafunzi 100 wapo kat(ika hekaheka za supp and special, shida ni kwamba wengi wao hajaweza kufika kufanya mitihani hiyo kisa pesa board hawajaleta ila...
I am doing masters in mba. I request any one who knows the website where i can get research papers on the above subject to assist. Please help.
Thank you in advance
Hamjambo wana JF?Katika upembuzi wangu niliofanya kwenye hizi ajira za Walimu nimegundua kwamba,walimu wa masomo ya Sayansi kama vile Physics,Chemistry,Maths na Biology ni wachache sana!Hii ina...
Wanajamvi...
Nmekuwa nikipatwa na maswali mengi juu hii kitu kinachoendelea kwa wanafunzi wa sekondari hususani kwa wasichana wa shule za mjini. Nashangaa kuwaona wakienda shule wakiwa hawana hata...
Haya wana JF naona watu wanatafutana sana hasa wale wa mashule...akina YOYO na IST!!! sasa basi wale wa Minaki Sec aka mlima kinyanyiko au watoto wa Mjale (RIP) mpo?!
Wakuu naomba msaada wenu wa mawazo kwa hili, Mtu mwenye Bachelor ya education BAED anaweza kusomea hiyo kozi ( tajwa hapo juu) na ikaja kuwa na maslahi baadae kwake?
Ni mwanamke ninayempenda sana na nishapeleka kishika uchumba kwao,tatizo ni kuwa yeye kapangwa wilaya ya KAHAMA,mi nimepangwa wilaya ya NJOMBE,mwenye ushauri anishauri nifanye nini ili tuwe...
WANA JAMIIFORUM......
NAPENDA KUWAJULISHA KUWA TUNAPANGA KUTOA COURSE FUPI ON BODY LANGUAGE.
WEWE KAMA NI MWALIMU/LECTURER, MWANA MUZIKI, MFANYABIASHARA, MWANASIASA, AU MTU AWAE YOTE NI MUHIMU...
jamani kuna rafiki yangu mmoja anataka kujiunga na vyuo vya kilimo kakini hajui jinsi ya kuweza kufanya hvyo pamoja na qualification vyuo vya serikali msaada jaman <thanx>
Please wadau wale walioishi, kusoma au uzoefu na hizi nchi mbili India and Malaysia naombwa kujuzwa kuhusu vyou vizuri i mean vinavyotambulika kwa course ya udactari wa medicine na cha bei ya...
Jamani wana JF, ninataka kuweka malengo ninasoma Bachelor of Education BEd nimewaza kusoma MA in International relation ina market kwenye soko laAjira?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.