Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

mi imebidi niwaulize wadau mwennye inf atujuze bac
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kuna mjumbe yeyote anayo tcu guide book yq mwaka huu naomba anitumie kwenye whasapp yangu through 0758906933
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna success business plan that can make you earn up to 1.2 Millions in 90 days. QUALIFICATION Ambitious to succeed Have a dream Ready to work in a team System presentation will be held by POWER...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Hongera sana ewe mwalimu mwenzangu ambaye umemaliziwa pesa yako ya kujikimu pamoja kupata mshahara wa mwezi april, hali ni tofauti sana na huku kwetu halmashauri ya wilaya ya SENGEREMA! Pesa ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya msoto wa madesa&mtaa kwa miezi 9 sasa kivulini napumulia.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Mwanajamii??? Kama unazo au unamfahamu aliye na contacts [ phone number (s) ] za Afisa Elimu Sekondari- Wilaya ya Muheza, Tanga naomba unisaidie kadri uwezavyo nizipate kupitia PM (Private...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
msaada wana jf nina mdogo wangu amemaliza 4m4 mwaka jana kapata div3 point 31 je anaweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za serikali?
0 Reactions
24 Replies
25K Views
Ni watu wengi sana wemekuwa wakimlilia Mungu kuonyeshwa vitu ambavyo havionekani kwa macho ya kibinadamu. Lakini Mwenyezi Mungu amewanyima watu wengi sana hii 'Zawadi' kwa kuwa anajua wengi hawana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mida hii wadau? Ninaomba kwa anaejua ni lini wanaotaka kujiunga na ualimu wa shule za msingi wanatakiwa kujaza fomu za maombi ya kujiunga na vyuo vya serikali anijuze. Asanteni sana.
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Bunda. Shule ya Msingi Kibara B, iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara, imefungwa na wananchi kwa muda kutokana na watu wasiofahamika kujisaidia kwenye vyumba vya madarasa, hali inayohatarisha afya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna kijana amehtimu kidato cha nne mwaka jana na kupata C katka masomo yote ya sayanc je anaweza kwenda kusoma udaktari?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi all, In the last week of December and the first week of January, I saw some socialites posting the list of books they read in 2013. Some did it via their blogs, some via their social media...
11 Reactions
103 Replies
9K Views
Wandugu naomba msaada wenu katika hili! Nimebishana na baadhi ya waalimu,wanadai kuna ngeli 8 za nomino ktk kiswahili.Kuna kamusi moja imetaja ngeli 12 za nomino ikiweo YA-YA,I-I na U-U ambazo...
0 Reactions
14 Replies
16K Views
Ijumaa iliyopta nilikua halmashaur kwangu nikifwatilia mambo yangu. Afisa utumishi wa wilaya akanidokeza kwamba kuna kundi kubwa sana kama si wote la walimu wapya wakakosa mshahara wa mwezi huu...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamani nimeomba field Barrick na wakanipatia E-mail yao (barricktz@barrick.com). Ambayo walihaidi itakuwa available Mei Mosi lakini mpaka leo nikituma application zangu inakataa. Tushauriane wadau.
0 Reactions
0 Replies
839 Views
wazima wapendwa? anayeweza kunisaidia kupata chuo cha ualim taratibu zikoje?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habarini wapendwa!mwenzenu kuna hili linanitatanisha kuhusu kujiunga na ualimu ngazi ya cheti waliomaliza miaka ya 2004 -2012 kwamba waliokua hawakidhi alama za kujiunga sasa wanaweza kujiunga na...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
wakuu kwanza nitangulize heshima kwenu..Mimi ni mtanzania niliyehitimu mafunzo yangu ya kilimo ngazi ya cheti mnamo may 2012..tangu hapo nimekua nikisubiri kuajiriwa lkn hadi Leo naona...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa yeyote anayejua website (tovuti) ya chuo cha uwazili Tabora naomba aitupie hapa ili inisaidie kumuombea kozi mtumishi wangu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shule ya Sekondari karatu ambayo ni Advance, imeingia katika mgomo baada ya kutopata suluhisho la kupatikana kwa maji, Kwa takribani miezi 5 toka mwezi wa 6 mwaka huu.. Wanafunzi pamoja na...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Back
Top Bottom