Wataalamu wa Kiswahili: Kuna ngeli ngapi za nomino katika kiswahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalamu wa Kiswahili: Kuna ngeli ngapi za nomino katika kiswahili?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, Apr 25, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wandugu naomba msaada wenu katika hili! Nimebishana na baadhi ya waalimu,wanadai kuna ngeli 8 za nomino ktk kiswahili.Kuna kamusi moja imetaja ngeli 12 za nomino ikiweo YA-YA,I-I na U-U ambazo waalimu wamezipinga vikali.Naombeni msaada kwa wanaozifahamu vizuri.
   
 2. s

  sugi JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  haya wazee wa HKL jimwageni hapo!uwanja wenu huo
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Waalimu pia wako humu ndani,nisaidieni!
   
 4. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wasisahau kuna ngeli ya genge!
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wanamapokeo wamebainisha tisa
   
 6. s

  sugi JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Hapa tunachez na maneno
   
 7. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Idadi ya Ngeli inategemea na mkabala unaozungumzia ngeli hizo. Tatizo kubwa ni kuwa walimu wengi wanasoma kitabu ki1 na wanang'ang'ania mtazamo mmoja. Ngeli zinapangwa katika mikabala 2. Wanamapokeo na wana usasa. Pia yategemea unaainisha vipi hizo ngeli. kwa mfano, M-WA mwaingine atakuhesabia kuwa M ni 1 na WA ni ya pili.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Namie naijua Hiyo Tu;

  Ngeeliiii ya gengeeeeeeeeee!
   
 9. Holili

  Holili Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Taab ya watz ni kujua kuzungumza kiswahili lakini hawajui kuwa hawajui kiswahili sanifu. Wataalamu wa lugha ya kiswahili na watusaidie kwa hili la nomino
   
 10. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,870
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  Inategemea unataka zipi kwani zipo za WANAMAPOKEO na WANAUSASA.
  mfano: kwa wanamapokeo zipo 9.
   
 11. S

  STEPHEN JIBE Member

  #11
  Jul 15, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona majibu hayapo na hayaendan na swali alouziza Msafiri
   
 12. HAMIS MOHAMED

  HAMIS MOHAMED JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  umepotea njia nenda jukwa la lugha.hapa 2najadili mustakhabar wa elimu sio lugha kjana..
   
 13. H

  HAGAI MAVANZA Member

  #13
  Jul 15, 2013
  Joined: Jun 26, 2013
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mikabala miwili ya uanishaji wa ngeli upo ule wakimapokeo na ule wa kisasa(kisintakisia) ambao una ngeli tisa(9) na wakimapokeo(maumbo) una ngeli kumi na nane(18)
   
 14. Wamamoyo1

  Wamamoyo1 Member

  #14
  May 3, 2014
  Joined: Apr 21, 2014
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inategemea unazungumzia kigezo gani kaka. coz kila kigezo kinakupa idadi tofauti za ngeli, yaani
  kigezo cha KIMOFOLOJIA,KISEMANTIKIA & KISINTAKSIA
   
 15. S

  Skype JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2014
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Na imeasisiwa na gwiji na nguli wa kiswahili Afrika ya Mashariki yote, mwalimu Kali.
   
Loading...