Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za mchana wakuu. Naomba keleweshwa kuhusu walewanao somea assistance clinical officer kwa miaka miwili je waneweza kuchukua diploma na kuwa clinical officer kwa mwaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NAIPONGEZA SANA SERIKALI KAMA IMEAMUA KUONDOA VITABU VYA ZAMANI. Lakini angalizo langu ni swala hili liwekwe wazi kwanza uwepo mjadala wa mitaala kwanza watanzania waangalie nini mtoto wa shule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamvi matokeo ya sec za seminari(za katoliki) zinafanya vzr sbb n kanuni na sheria kali. vp shule za kiislamu kunani
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau heshima mbele Nina ndugu yangu kamaliza form six mwaka huu. Kasoma CBG plus Basic Applied Mathematics. Kaniomba ushauri asomee nini. Nami naomba msaada hapa maana mawazo tofauti tofauti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Kuna yeyote amewah fanya mitihan kwa ajili ya certificate tajwa hapo juu? Ningependa kujua mitihan inakuaje.. shukran
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimejaza fom ya mkopo ila kuna kosa kwa mfadhili na nataka kubafili je inawezekana?????
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hge
kwa anae fahamu anisaidie vitabu vinavyo hitajika na waandishi wa vitabu hivyo.
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Hii tarifa ya kuweka vyeti vya shule/chuo dhamana ili upate mkopo CRDB mimi naona haiko sawa kabisa, kwa sababu unapokopa lazima urudishe mkopo uliokopa, Je endapo utashindwa kurudisha mkopo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau kuna jamaa kaka yangu anamaliza TECU mwaka huu amepiga hiyo kozi, jana aliniuliza vipi kuhusu soko la ajira kwa kozi yake nikamwambia ngoja nilipeleke kwa wenyewe wadau wa elimu watafafanua...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
1.civil engeneering 2.electrical engeneering 3.electrical and telecommunication engneer 4.machanical
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nitawahi kwa mwaka Hui!??
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mm ni kijana mwenye umri usiozidi miaka ishirini na tano .huwaga najishughulisha na kazi za ufundi wa sofa na huwa natengeneza sofa nzuri kwakweli ila ninakuwa namashaka pale ninapokua nikitaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana_jukwaa kuna_dogo kaniomba msaada wa kumtafutia chuo cha uuguzi Kwa Mkoa wa Dar es salaam! Bt amesema chuo chochote kile ila kiwe Dar.
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Habari Zenu Wapendwa... Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Kozi Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani anaomba kujua ,halmshauri yetu imetoa ruhusaza watu kwenda masomoni kwa mujibu wa barua zao za kuwekwa kwenye mpango lakini cha kushangaza wote wamepewa barua inayo sema umeruhusiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni kama hadithi kwa wengine, lakini ni hali halisi inayowatokea walimu wenzangu, katika shule ile ya kata. Wakati shule ikitaka kuanzisha, wanakijiji walihamishiwa mashamba yao na serikali...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wana JF, Please naomba msaada wa link ninakoweza ku-download logo creator.
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Jamani najua mnaendelea na ujazaj wa form za loan board but kuna hili la TCU, je ni bora utume elf hamsini kwa njia ya NBC bank au ununue vocha CRDB kote ni elfu hamsini?Na mda wa kushughulika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima ziwekwenu wanajamvi naomba kujua namna ya kujiunga na kusoma online katika chuo kikuu huria kozi ya sheria-results ni Geo-C,ENG-C,KISW-D,CIVICS-D,HIST-D,BIO-F,MATH-F dev 4-28.msaada kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakati wabunge wakiijia juu Wizara ya Elimu na Mafunzo kutokana na kuwepo kwa hali ya kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini, kashfa ya aina yake imeibuka ikihusisha wizara hiyo kumtumia Makamu...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…