Ushauri unahitajika asomee nini

Truly

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
228
32
Wadau heshima mbele
Nina ndugu yangu kamaliza form six mwaka huu. Kasoma CBG plus Basic Applied Mathematics. Kaniomba ushauri asomee nini. Nami naomba msaada hapa maana mawazo tofauti tofauti yanasaidia pia. Shukrani
 
Back
Top Bottom