UDSM English Proficiency Certification

waltkim86

New Member
Feb 16, 2014
4
0
Habari,
Kuna yeyote amewah fanya mitihan kwa ajili ya certificate tajwa hapo juu? Ningependa kujua mitihan inakuaje..
shukran
 
hakuna kitu kama hicho.kalale tena halafu uamke upya

ImageUploadedByJamiiForums1401187379.782719.jpg
 
mimi nimefanya,lakini hakuna jipya zaidi wala usihangaike kusoma usiku kucha,ni mtihani ambao una-reflect uwezo wako ki-ujumla na sidhani kama utashindwa!!!kuna Prof mmoja mtu mzima alinifanyia assesment na kwa kwli alikuwa fair sana!!
 
Back
Top Bottom