Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wana Jf kwa mtu yeyote ambaye hajui aanzie wapi, aishie wapi kujaza fomu za mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB). anaweza kuwasiliana nami kwa 0785 140 370 au fika Banana Karibu na Airwing...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimestushwa nakusikitishwa Sana ucku Huu watoto wetu hasa wasichana wanalazmishwa ngono Na baadhi ya askari.nimepokea sim ucku Huu my sissy huko oljoro anafanyiwa visa Na askar hata anataman...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo yeye aje mwanza magu mimi nirudi mbeya wilaya yoyote.aliye tayari tuwasiliane kwa pm
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Naombeni msaada kwa anayejua ni website gani ninaweza kupata kudownload maswali ya biology mengi na yenye majibu kwa kutumia simu.Kwasababu zingine nimejaribu haiwezekani ninaambiwa file format...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mwl wa mcng yeyote aliyoko TANGA,PWANI AU MORO, na anataka kurudi Tunduru basi anitafute kwa namba 0686538848 ,0758538890
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye softcopy za performance management na auditing naomba tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Naomba kama kuna anaefahamu mahali wanapofundishia ushonaji nguo na kutarizi anifahamishe.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
jamani kama Kuna mtu Ana any news anijuze make mi nipo kijijini
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mfumo wa elimu Tanzania sijui itakua lini, serikali inashindwa nini kusomesha bure? Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaofaulu vijijini wengi wanashindwa kusoma kutokana na wazazi wao kuwa na maisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada ju ya hlo jaman.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mie ni mwalimu wa sekondari masomo Bios & chem (A&O) nahitaji mtu wa kuja sgda municipal nami niende moro manicipal mawasiliano 0767722929, 0783722929 ahsante.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna myth imekua ikiendelea kua baadhi ya vitu ni kipaji mtu anazaliwa nacho kama kuimba, kuchora etc... nsiongelee kuimba japo yeyote anaweza kuimba, leo naongelea kuchora.. Mtu yeyote yule...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wizara ilitangaza nafasi za masomo ila website ikawa haifunguki,kwa sasa website ya kilimo www.kilimo.go.tz inafunguza na unaweza download form zikiwa zimeambatana na maelezo kamili ya sifa za...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Ndugu zanguni, natamani kujiunga na program ya Masters of Social Work (Hybrid mode) inayotolewa na OUT. Ninaomba kujua kuhusu muundo wa ufundishaji kwa Mfumo huu wa hybrid. Chanzo Kimoja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni na Majukukumu , nahitaji review questions na answers kwa MBA kwa masomo ya marketing,decision making na Financial Management.Kwa yeyote aliyonayo naomba tuwasiliane.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman wanajukwaa, kwa heshima na taadhima ni mara nyingine tena najitokeza jukwaani, ni mara nyingi huwa najiuliza sana ni kwa nini herufi ziligundulika na hakuna zaidi ya Z. ni vigezo gani...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
habari zenu wana jamvi kwanza natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamvi kwa ushirikiano wenu mchango wenu ni mkubwa kwangu. Nawaombeni mnisaidie kwa hili mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mdogo wangu ana Math B+,Bios B+,GEOG D,CIVICS D,HIST D,CHEMISTRY D,PHYSICS E Anaweza kujiunga course za nursing au C.O?
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wakuu hebu niambieni umhimu wa course hiii!natolewa na UDSM
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu,naomba msaada wa kujua review classes ama wale wanaojiandaa kufanya mitihani ya bodi ya ugavi kwa stage yoyote ile kwa MOROGORO.nashukuru sana kwa msaada wakuu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom