Kwa ambae hajui jinsi ya kujaza fomu za mkopo za bodi (heslb)

Mchokozi wa mambo

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
201
159
Wana Jf kwa mtu yeyote ambaye hajui aanzie wapi, aishie wapi kujaza fomu za mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB). anaweza kuwasiliana nami kwa 0785 140 370 au fika Banana Karibu na Airwing Secondary au fika Banana Airwing uliza kwa Mseti utafika
 
Wana Jf kwa mtu yeyote ambaye hajui aanzie wapi, aishie wapi kujaza fomu za mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB). anaweza kuwasiliana nami katika email hii stephenmseti@yahoo.com, na pia aweke namba yake ya simu, tutawasiliana na kujua jinsi ya kunifikia katika ofisini kwangu BANANA - DAR ES SALAAM.

Mimi Mkuu natafuta namba zao za mkononi, niliwapata kwa landline wakaniambia watanipigia mpaka leo huku siku zijayoyoma!
 
Back
Top Bottom