Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tafazali kwa anayejua kuhusu taarifa hyo wana jamiiforum.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua hizo sehemu sio ngeni kwa wengi.Ni mwalimu gani hotamsahau?kwa nini?.Kwa upande wangu sitomsahau MODDY jamaa anapiga physics hatari.
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Ni baada ya wanachuo kushindwa kuvumilia hali ya sintofaham inayoendelea kukosa pesa ya mkopo,wanafunz hao wameita uongozi wa chuo na kuongea nao na walipokosa majibu ya kuvutia wanafunzi hao...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanajamvi habari! Kwa niaba ya Kampuni yangu ya Mwangili Electronics Solution(MES), tutaendesha mafunzo ya muda mfupi ya kielectronics. Mafunzo haya ni kwa ajiri ya Wataalamu na wale wote wapenzi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kweli mimi nashangazwa na kitendo cha serikali kuto kutenga fungu kwa ajiri ya kuwapa walimu ambao wamethibitika kuwa wamepanga vyumba vya kuishi mtaani. Mwalimu kulipia pango kutoka kwenye...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
wadau na wataalam wa kufikiri nawasalimuni. naomba kuuliza mbona nkifungua OLAS inasumbua sana inasema cant connect to data base.sasa registration na ku fill form itafanyikaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi, mimi ni mfanyakazi ninayejiendeleza ki-elimu na Juni mwaka huu nataraji kumaliza Diploma ya Uhasibu. Natamani sana kuendelea zaidi ya hapa kwa kuwa nafanya vizuri. Naombeni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji mwl wakubadilishana nipo karatu nataka niende arusha mjin au arumeru idara msingi.0788628489
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Nahitaji mwl wakubadilishana nipo karatu nataka niende arusha mjin au arumeru idara msingi.
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Tcu tunaomba mtusaidie maana hapa tunapata hali ngumu ya kitaluma,no quality of library na mengineyo mengi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi msaada kwa anaejua kuhusu quality of education inayotolewa Dar es salaam University College Of Education (DUCE) vipi kinaweza kua ni miongoni mwa vyuo bora nchini?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani naomba mnijuze hv ss watu wana apply mkopo au vyuo Maana watu wanazungumzia kuapply vyuo wakati matokeo yenyewe bado Jamani mm najua watu wanaomba mkopo na sio vyuo naomba nieleweshwe zaidi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Assalam Aleiykum kwa mpigo. Napenda kuchukua wasaa huu kuwakumbusha na kuwaomba msambaze taarifa za hii program ya The Mastercard Foundation for Africa, ambayo inatoa Scholarship kwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Watumishi wa umma ambao walikuwa waajiriwa serikalini wakaacha na kwenda kusomea ualimu wamekosa mishahara yao mwezi huu baada ya system kuwatema.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
My warmest wishes to you and your dear ones on this very, very special day. Kama umegraduate with a good GPA, tafadhali jaribu The Master Card Foundation for Africa: Home Page | The MasterCard...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jaman wana javi ninashida moja inay onisumbua nayo ni hii. Ndugu zangu hapa nilipo mwenzenu nimehitimu Elimu ya kidato cha sits lakini lugha ya kiingeleza imenipita kushoto. namanisha ivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi naomba mnisaidie eti ni kweli kidato cha sita wa mwaka huu wataanza kuripoti vyuoni january mwakani...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kuanzia uongozi wa juu wa chuo kuja chini wamejaa wahaya tuu.jambo linawatesa wanachuo kwa kutopata mahitaji yao kwa wakati mwafaka,kwani wanafanya mambo bila kujali wakijua kuwa hakuna atakaye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mwenye kunielewesha kuhusu hili suala la utoaji wa ruzuku(grants) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba wanafunzi wanaosoma udaktari katika vyuo vya serikali km...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Jaman msaada kwa anaejua namna ya kujiunga na kusoma online(distance learning) katika chuo kikuu huria,kozi ya sheria ngazi ya cheti matokeo ni dv-4(28points)ENG -C,GEO- C,HST- D,KIS D,CIV-...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Back
Top Bottom