Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ninoma sana, kusu mikopo ya special diploma.
1 Reactions
95 Replies
12K Views
Naomba msaada nataka kusoma postgraduate ya sheria ni chuo gani kinatoa kwa hapa Tanzania? na vigezo vinavyohitajika ili kujiunga Mwenye kujua anijuze.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hii n kwa wale wanafunzi wote ambao majina yao yakusaini boom hayakutoka..inapita wiki tatu uongozi wa chuo na wanafunzi umelifumbia macho tatizo letu kila tukifuatilia ni majibu ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana jf poleni kwa majukukumu,kwa yeyote mwenye uwezo wakutusaidia udom prospectus atuwekee hapa ili iweze kutusaidia kufahamu mambo ya chuo kiundani zaidi,natanguliza shukrani.
1 Reactions
15 Replies
18K Views
Ningependa kufahamu kama kuna mtu anajua faida na hasara za kusoma hii course..is it Marketable?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Anayetaka kuja MUFINDI mimi nije MBOZI anitafute kwa namba hii 0755814442 idara ya sekondary
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mnijuze jamani, nimeangalia ajira za waalimu tangu 2012/2013 na 2013/2014 nimeona waalimu wengi wameajiriwa vyuo vya ualimu mfano Butimba, Monduli, Vikindu nk. sijaona hata mmoja...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
.WARAKA NO M/D20/CL524....... YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU. ..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano...
0 Reactions
87 Replies
21K Views
Binti yangu amemaliza Elimu ya sekondari na kufaulu kwa Pointi 12 katika masomo yote. Katika kutafuta Shule nzuri ya kuendelea na Elimu yake ya kidato cha tano yeye akanishauri kuwa anataka...
1 Reactions
6 Replies
10K Views
Nawasalimu kwa jina la BRN....moja kati ya halmashauri ya kiuni ni hii ya Mkuranga..kulikuwa na semina ya walimu iliyokuwa chini ya British council but dakika za mwisho wajanja wamepiga ela na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nafundisha wilaya ya Mufindi shule ya NYOLOLO natafuta mwalimu wa kubadilishana anayefundisha shule yoyote iliyopo wilaya ya Mbozi.idara sekondary.0755814442
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza natoa shukurani kwa serikali iliyofikilia mpango wa kaanzisha shule za kata . Msema kweli tulipata changamoto kubwa katika kusoma kwetu ikiwa shule zilikuwa hazna walimu wa kutosha...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
habari ndugu wana jf,nimemaliza mafunzo ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti na nimeajiriwa serikalini sasa naomba msaada wenu sababu nahitaji ku upgrade ila sina contact ya chuo chochote kizuri...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari tena ndugu zangu Nimekuja kwa mara nyingine tena kwa yeyote mwenye kufahamu mawasiliano ya simu ya mwalim mkuu wa shule ya sekondari kilakala iliyoko mkoani Morogoro. naomba anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habar zenu wakubwa! Samahan naomba kuwaulizen, il nipate kufahamu. iv kwa wanachuo wanao hitimu shahada za elimu {bachelor of education} katka vyuo vishiriki vya UDSM-yaan MUCE na DUCE...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Baada ya kampeni za wapinzan kudai kutoa elim na kupunguza makali ya maisha.... serikal ya CCM imekuja na hoja ya kutoa elim bure mwakan..... hapo wamelenga nini? 1.je wanajua watatoka wawaachie...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mwenye kufahamu vigezo maalumu vya kuhama kituo anijuze tafadhari na process mzima ya kuhama
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada wana Jf , Kama mjuavyo entry requirement minimum ni GPA 2.7 nchini Tanzania. Ningependa niendelee na elimu ya Chuo kikuu, lakini naona sijafikia sifa Je nifanyaje?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
The University of Edinburgh will offer one scholarship to a student from Tanzania for postgraduate Master's study in any subject offered by the University for the 2015-2016 academic session. The...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwenye ufahamu naomba kujua gharama zoote kwa kozi hii hapo udsm..nipo kijijini sina access ya network ambapo ningeweza kudownload. Ahsanten
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom