UDOM Prospectus inayotumika sasa

BONANJE

Member
Jul 13, 2012
34
3
Ndugu wana jf poleni kwa majukukumu,kwa yeyote mwenye uwezo wakutusaidia udom prospectus atuwekee hapa ili iweze kutusaidia kufahamu mambo ya chuo kiundani zaidi,natanguliza shukrani.
 
aisee nimetafuta hiyo kitu takribani miezi mi4 lakini sijafanikiwa
 
jamani mbona kimya kwa mwenye uwezo atusaidie tuipate tukiwa nyumbani tukienda huko tusije sumbuka (prospectus)
 
jamani mbona kimya kwa mwenye uwezo atusaidie tuipate tukiwa nyumbani tukienda huko tusije sumbuka (prospectus)
nasubiria wadau na mm nmetafta nmekosa!! kama kuna anae hata scanned copy aweke
basi atatusaidia sana
 
watu mna viherehere humu..mtu hata hujachaguliwa then ushaanza mbwembwe za kuomba prospectus!!
 
mtu akiomba kitu hakuna budi kumsaidia Cz kuna watu walichaguliwa awali baada ya hapo ndo tcu wakatangaza treh 22... if ipo tusaidien??
 
Ndugu wana jf poleni kwa majukukumu,kwa yeyote mwenye uwezo wakutusaidia udom prospectus atuwekee hapa ili iweze kutusaidia kufahamu mambo ya chuo kiundani zaidi,natanguliza shukrani.

mi ninayo nipo bt ni hardcopy
 
chuo kikuu c kama advance vjana wakufunzi hutumia guide book yao xo prospectus hupatikana in orientation week hakunaga masuala ya tuition unachofundishwa na mkufunz ndo hicho hicho u must b grown up guyz
 
Back
Top Bottom