Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jaman nataka kujua kwa mtu aliye soma mchepuo wa CBG anaweza kusomea udaktari hapa Tanzania
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Wana UDASA, Katika pitapita zango kwenye mtandao nimekuta habari ambayo kwa ufupi tu inaarifu kuwa chuo kikuu cha "Kampala International (KIU)" hakitambuliki nchini Kenya. Nimeangalia tovuti...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari kwenu wadau, Naomba kujua Review classes inayofundisha vizuri iliyo ktk maeneo ya Kijitonyama, mikocheni,Kinondoni, Magomeni na maeneo mengine Jirani na hayo. Sisi tunaofanya kazi maeneo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini! Nna mpango wa kufanya masters degree mwakani. Napenda mnipe mawazo kuwa ni kwa namna gani naweza kupata pesa kwa ajili ya kusoma. Kimsingi mimi ni mtoto wa mkulima maana hata shahada...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Tafadhali naombeni msaada, nimeajiriwa april mwaka jana.. hadi muda huu sijapata tsd no. wala barua ya kuthibitishwa kazini.. je kuna vigezo gani vinatumika? maana nimeona wengine tumeajiriwa wote...
1 Reactions
11 Replies
10K Views
By looking at structure of the parliament and internal organisation of CCM,explain why it is difficult for MP"s to remove the prime ministers out of office through a vote of no confidence
1 Reactions
0 Replies
2K Views
chuo gani hapa tz kinatoa advance diploma in clinical medicine
0 Reactions
9 Replies
16K Views
​Kweli hii Tanzania nchi ambayo chombo muhimu kam baraza la mitihani la Taifa linaendeshwa kienyeji kiasi kwamba wametoa matokeo ya form two 2014 then after five days yakiwa tayar hewani...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau kuna tetesi kua mwisho wa ajira za waalimu ni 2015.Na pia kuna tetesi kua waliomaliza chuo mwaka huu huenda wasipangwe wote mana idadi ya waalimu imetimia.Na badala ya kuomba unarudi mfumo...
0 Reactions
41 Replies
12K Views
Napenda kujua lini matokeo ya form two ili tuwahi kuwahamisha watoto kabla hawajafungua shule
0 Reactions
12 Replies
19K Views
Jamani wanajamvi mnaokaa Arusha tafadhali mnisaidie kupata chuo Arusha, kinacho husikana na maswala ya tourism marketing, Nina stashahada ya chuo cha uhifadhi na usimamizi wa Wanyama pori pale...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu kuna ndugu yangu anafanya mtihani mwaka huu naomba msaada wenu kuelekezwa mwalimu au walimu wazuri au tution nzuri kwa dodoma mjini ambapo ataweza kujiandaa vyakutosha ili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale wapo interested mnaweza kusoma kozi hii free online About this Course Feeding nine billion in 2050 without exhausting the planetary reserves is perhaps the greatest challenge mankind...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Ndugu zangu habari za jumapili, naomba msaada wa kujua kama wizara ya mambo ya nje na ushikiano wa kimataifa wana notarize/certify vyeti. Kuna chuo nimeomba nje ya nchi wananiambia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni sekondari ya Barbro Johansson inayomilikiwa na prof. Anna Tibaijuka, imeongoza kwa ufaulu wa somo la hesabu kidato cha pili kwa upande wa wasichana kitaifa. Source : JamboLeo
2 Reactions
69 Replies
10K Views
Habari wadau. Nmeona chuo cha IAA pale Dar campus na Arusha wanatoa hiyo course kwa mwaka mmoja wakishirikiana na Coventry University. Swali langu ni Je, hiyo masters degree inakubalika na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau matokeo kidato cha pili yametoka lakini huu mpango wa gpa umekuwa unachanganya. kuna gpa ya 0.2 ambayo inaonyesha mwanafunzi kufaulu lakini kiuhalisia ni kwamba wamefeli. Haiwezekani kati...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Ni baada ya kamanda masatu na mwakibinga kuondolewa jana kwa escort ya polisi Leo kamanda Messanga Thobias, anayesoma sheria mwaka wa tatu(spika wa bunge). Kaondolewa kwa ulinzi mkali na mizigo...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom