Yes anweza lakini kwa kuanzia na ngazi ya stashahada ya clinical medicine then unaendelea na ngazi ya MD. Maana matokeo yako ya form four yataangaliwa zaidi na kwa MD ujitahidi walau upate GPA ya 3 plus at least 3.5 and above.
Kwa mitaala inayosimamiwa na NACTE utakuwa umemaliza NTA level 6 then ni rahisi kama ume qualify kuendelwa na NTA level 7 Ambayo ni ngazi ya MD.
CUHAS.. Zamani ilikua inaitwa Bugando wanaweza wakakuchukua lakini uwe umefanya vizuri sana Chem na Bios ama Uanze diploma ya CLINICAL MEDICINE.. KOMAA UTATOKA, UDAKTARI UPO MIKONONI MWAKO.
Nimesoma hio comb pamoja na maelezo yote yalichonikuta kwenye application ni balaa we soma faulu vizuri lakini wakati wa applction utaelekezwa jinsi gani ufanye upate hio caurse
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.