Msaada MBA-Information Technology Management pale IAA

vurumai

Senior Member
Feb 9, 2014
178
36
Habari wadau.

Nmeona chuo cha IAA pale Dar campus na Arusha wanatoa hiyo course kwa mwaka mmoja wakishirikiana na Coventry University. Swali langu ni Je, hiyo masters degree inakubalika na kutambulika serikalini na kwenye mashirika binafsi coz nna mashaka hasa kutokana na kufanywa mwaka mmoja.

Thanks in Advance.
 
Kwani chuo ulichosoma kinatambulika na serikali na TCU? Kimesajiliwa na mamlaka husika?
 
Back
Top Bottom