sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Ndugu wana Jukwaa kwanza nawasalimu wote wakubwa kwa Wadogo.,Mimi nimefanya application tar 10/8/2016 ya kujiunga na diploma chuo kikuu dodoma lakn hadi sasa nikicheki kwa Email yangu hakuna chochote walicho Reply na sijaona lolote kwenye website yao.,je nifanyaje wadau Msaada tafadhali..kwa kuwa nasikia chuo kinafunguliwa rasmi mwezi wa9 kuendelea na masomo baada ya likizo fupi Msaada tafadhali