Kumekuwa na wizi wa pesa zinazokusanywa kwenye Shule za Sekondari, Tsh. 50,400/-. Wakuu wa shule wamekuwa wakikusanya pesa hizo lakini hawawapatii bima Wanafunzi hadi wanamaliza masomo yao hasa...
Habari wamanzuoni naweza kupata msaada wa kuweza kupata soft-copy ya vitabu hivi vya science kwa level ya A-Level
kama
1. Conceptual Chemistry Volume I For Class XI
2. Conceptual Chemistry Volume...
Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi...
Shule ya msingi Sabaga ipo Mkoa wa Kigoma wilaya ya Kasulu vijijini, Shule hii ina zaidi ya wanafunzi 1,567 na kuna vyumba 8 tu ya madarasa, Licha ya uhaba wa madarasa pia kuna uhaba mkubwa wa...
Najitambulisha kama Mwanachuo wa Chuo Kikuu kimoja hapa Tanzania na mdau wa Jamii Forums.
Nalalamikia Loans Board kuchelewesha malipo kwa Wanafunzi vyuoni. Mfano chuoni kwetu tumefungua Tarehe...
Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
Bila shaka tunaweza kuwa mashahidi wa jinsi somo la HISABATI lina umuhimu katika Ulimwengu wa sasa,
Utakubaliana nami kuwa Hisabati ndio nguzo muhimu katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia...
Mwenye kuelewa namna ya kufanya Apply For Appeal kwenye mfumo wa OLAMS HESLB naomba msaada maana kila nikiingia mfumo unaniandikia "An Error Occurred Please Try Again"
Msaada kwenye tuta wakuu
Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli.
Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum,
lakini ukweli...
Na kumbuka Mabweni ya Urafiki, umoja, maendeleo, ujamaa na muungano!
Nakumbuka shida ya umeme iliyokuwa itokea na kulazimika kutumia chemli!
Kama mtakumbuka Kuna kisima cha kupampu a.k.a...
Habari wanajamii,
Naomba kuuliza jambo kuna mtu amekutwa na changamoto, amepoteza kadi yake ya bank aliye tumia wakati wa maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kisha kwenye kusajiri...
Kama kichwa kinavyojieleza, Leo mwanangu amenipa taarifa kuwa shule yao,yaan Ubungo Nhc msingi inabadilishwa na kuwa mchepuo wa kingereza
Nikapata mshituko kidogo, ikabidi nifanye uchunguzi...
Chuo cha Uhasibu Arusha kutoa mafunzo ya Uhasibu, Tehama na Uongozi Comoro
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Profesa Eliamani Sedoyeka anaongoza ujumbe wa chuo hicho katika mazungumzo na...
Comrades and fellow members here are some tips you should know;
Top of Form
Bottom of Form
How to Write an Essay
This concise guide to writing an essay by PhD Professor...
Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509
Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza...