Ni matumaini yetu kwamba nyote mu-wazima jukwaani hapa, na mnaendelea vyema na majukumu ya kitaifa.
Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya uchambuzi wa tatizo katika mradi wa maendeleo ya kijamii...
Msaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss nin milion mojaa natakaa nimuagizee vitu hivii hp kwa sababuu sn ozoefuu navyo na wala sijuii aina ipii ni nzuri na hata...
Habari Wana JF,
Katika website ya wizara ya viwanda na bishara, kuna kipengele ambacho huwa wanaweka taarifa za bei za mazao hasa ya vyakula. Hii huwa ni madhumuni ya kumsaidia mfanyabiashara...
Bia ya balimi imeingia Moro kwa Mara ya kwanza bei yake inatofautiana toka sehemu moja hadi nyingine turiani 2000 na 1500
Moro mjini 1500 msamvu 1000 safari inapigwa bao taratiiiiibuuu
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 22
“It never ceases to amaze me the impact that controlling your losses has on your performance.” – Chris Tate
Name: Crispin Odey
Date of...
Naomba kujuzwa kuhusu kodi na makato yoyote pale ambapo ntaagiza bidhaa za urembo (accessories,nguo nguo,etc) kutoka nje mf. Kg X ni tshY, au mzigo wa tsh X vat rate ni Y, vitu kama hizo yani...
Wanajamvi heshima kwenu,
Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.
Natanguliza shukrani
kutokana na kilio kikubwa cha watanzania kuhusu riba BancABC wameamua kushusha riba ili kuwavutia watanzania kwa kushusha riba asilimia 16% Bila shuruti au serikali ; Riba mpya imetangazwa mbele...
Kama Heading inavyojieleza kuna biashara moja ambayo nimeiona ya kununua maeneo nakukata viwanja kwa mfano ekari moja ina uzwa milioni kumi na tano ukikata viwanja unapata viwanja 20 ambavyo...
Wadau nimekuwa nikisikia kuwa kuna mkopo benk kwa vijana wasio na mali isiyo hamishika. Wanasema ukipeleka cheti cha chuo na ukawaachia benki wanakupa mkopo. Je ni kweli?, mwenye uzoefu au...
Wakuu naomba mnisaidie namna ya kupata gharama halisi za kodi pindi ninapoagiza gari kutoka nje ya nchi. Pia je, tz unaweza kuingiza gari yenye miaka mingapi? Natanguliza shukrani
Habari,
Nataka kufungua Saloon ya kike nipo geita kijijini lakini si Sana, mtaji ni 2m, naomba mchanganuo wapendwa kwa wenye utaalam na uzoefu naomba tusaidiane kwenye hili.
Asante.
Habarini wakuu? kuna mambo sio vibaya kama ntapata ufafanuzi juu ya bank za hapa nchini na mifumo ya kiserikali kupitia maswali haya...
1; je kuna utofauti kati ya azina kuu na benki kuu ya Tz...
Katika miaka ya 2000 au 2001 kama sijakosea kampuni ya azam walikuwa wanatengeneza maji katika sachet yaani katika vifuko vya plastic, lakin baada ya muda wakaacha naomba kujua ni kwasababu gani...
salaam
samahani wana Jamiiforums ,nimepata kiasi cha sh milion 2, nimepewa nikaanzie maisha ila sasa hapo natakiwa nitoe na kodi ya chumba na niangalie nifanye biashara gani...
Wadau mimi ni mfanyakazi, nimejitahidi ndani ya miezi 6 kazini kuweka akiba ya sh 1,000,000/= sasa nimepanga mwaka ujao niwekeze hicho kiasi kwa kuanzia kwenye soko la fedha.
Nimeona matangazo ya...
Ushawahi kuiskia hii: "Tunanunua HELA MBOVU pamoja na DOLLAR"
Hii ni sauti inayosisika katika mijumuiko ya watu wengi, mf. vituo vya dala dala, sokoni, tena huwa wanutumia zile spika za koni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.