Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Bia ya balimi imeingia Moro kwa Mara ya kwanza bei yake inatofautiana toka sehemu moja hadi nyingine turiani 2000 na 1500 Moro mjini 1500 msamvu 1000 safari inapigwa bao taratiiiiibuuu
1 Reactions
2 Replies
2K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 22 “It never ceases to amaze me the impact that controlling your losses has on your performance.” – Chris Tate Name: Crispin Odey Date of...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Naomba kujuzwa kuhusu kodi na makato yoyote pale ambapo ntaagiza bidhaa za urembo (accessories,nguo nguo,etc) kutoka nje mf. Kg X ni tshY, au mzigo wa tsh X vat rate ni Y, vitu kama hizo yani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi heshima kwenu, Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation. Natanguliza shukrani
0 Reactions
24 Replies
20K Views
kutokana na kilio kikubwa cha watanzania kuhusu riba BancABC wameamua kushusha riba ili kuwavutia watanzania kwa kushusha riba asilimia 16% Bila shuruti au serikali ; Riba mpya imetangazwa mbele...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama Heading inavyojieleza kuna biashara moja ambayo nimeiona ya kununua maeneo nakukata viwanja kwa mfano ekari moja ina uzwa milioni kumi na tano ukikata viwanja unapata viwanja 20 ambavyo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa nikisikia kuwa kuna mkopo benk kwa vijana wasio na mali isiyo hamishika. Wanasema ukipeleka cheti cha chuo na ukawaachia benki wanakupa mkopo. Je ni kweli?, mwenye uzoefu au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnisaidie namna ya kupata gharama halisi za kodi pindi ninapoagiza gari kutoka nje ya nchi. Pia je, tz unaweza kuingiza gari yenye miaka mingapi? Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Nataka kufungua Saloon ya kike nipo geita kijijini lakini si Sana, mtaji ni 2m, naomba mchanganuo wapendwa kwa wenye utaalam na uzoefu naomba tusaidiane kwenye hili. Asante.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habarini wakuu? kuna mambo sio vibaya kama ntapata ufafanuzi juu ya bank za hapa nchini na mifumo ya kiserikali kupitia maswali haya... 1; je kuna utofauti kati ya azina kuu na benki kuu ya Tz...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Katika miaka ya 2000 au 2001 kama sijakosea kampuni ya azam walikuwa wanatengeneza maji katika sachet yaani katika vifuko vya plastic, lakin baada ya muda wakaacha naomba kujua ni kwasababu gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
salaam samahani wana Jamiiforums ,nimepata kiasi cha sh milion 2, nimepewa nikaanzie maisha ila sasa hapo natakiwa nitoe na kodi ya chumba na niangalie nifanye biashara gani...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau mimi ni mfanyakazi, nimejitahidi ndani ya miezi 6 kazini kuweka akiba ya sh 1,000,000/= sasa nimepanga mwaka ujao niwekeze hicho kiasi kwa kuanzia kwenye soko la fedha. Nimeona matangazo ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ushawahi kuiskia hii: "Tunanunua HELA MBOVU pamoja na DOLLAR" Hii ni sauti inayosisika katika mijumuiko ya watu wengi, mf. vituo vya dala dala, sokoni, tena huwa wanutumia zile spika za koni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Poleni na kazi, Mimi ni kijana wa kitanzania, ninashamba la ekari 4 maeneo ya Msata/Chalinze pia nina-mtaji wa Tsh. milioni mbili. Naombeni ushauri nifanye shughuli/biashara gani kupitia...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish Gold trended downwards throughout last November, dropping over 16,000 pips from the high of 1336.98 on November 9. The overall bias is bearish, and...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Anaandika Mheshimiwa Antony Mavunde Ufunguzi wa mafunzo ya Vijana juu ya stadi za kushona na kukata vitambaa kutumia teknolojia ya kisasa katika kiwanda cha Mazava Fabric Co.Ltd Morogoro leo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba ushauri na vitu vinavyohitajika kufungua karakana ya kunyoosha na kupiga magari rangi wadau wa jf. Thanks in advance.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nimesikia hisa za makampuni ya simu zinaanza kuwa listed kwenye DSE january, tulioko mikoani tunazipataje?
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Back
Top Bottom