mwinyigumba
Member
- Nov 15, 2016
- 28
- 8
Katika miaka ya 2000 au 2001 kama sijakosea kampuni ya azam walikuwa wanatengeneza maji katika sachet yaani katika vifuko vya plastic, lakin baada ya muda wakaacha naomba kujua ni kwasababu gani waliacha utengenezaji wa hayo maji...najua jf wapo watu wanaufahamu nalo hili jambo na pengne walikua wahusika katika process mbalimbali za utengenezaji wake.....
Nia ya swali langu ni kutaka kufahamu sababu zilizofanya maji haya kuacha kuzalishwa aidha zilikua ni sabab za kimasoko au kiserikari...nina idea ya kutaka kuanzisha kiwanda kidogo cha kuzalisha maji haya......
Natanguliza shukrani zangu za dhati.