Mh Makonda nimesikia maelezo yako kupitia clouds fm.Swala lako kuhusu Umoja uliouanzisha wa waendesha boda boda na jinsi mlivyojipanga kuanzisha kiwanda cha boda sembe.
Kupitia michango ya...
Wakuu habarini za saa hiz?nnaomba kuuliza mwenye uelewa kuhusiana na calculation za mikopo ya benk maana jana nmeahindwa kuelewa mpaka nikasitisha mkopo kwanza.nikwamba wanasema calculation...
Habari zena wana JF. Nigependa kupata mawazo yenu wakubwa wangu, eti mtu aliemaliza certificate in business administration anaweza akafanyia wapi field?
Kwa anaeweza kunikopesha pesa za kitanzania zipatazo Tsh Milioni 5 tusaidiane kwa hilo. Kikubwa sina dhamana kama vile nyumba, kiwanja ama shamba. Hivyo basi nipotayari kuweka dhamana yangu ya...
Bonyeza link hii
jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
Fata maelekezo, jaribu bahati yako.
Sina uhakika nayo ila tujaribu watanzania wenzangu.
Kama kuna mtu anaujuzi na hii...
Ulizaliwa ukiwa na kitu cha kufanya hapa duniani. Kitu hicho kilikua na bado kipo ndani yako mpaka sasa.
Kilichokufanya wewe ukashindwa kukitambua na kwenda kufanya vitu vingine ni mifumo...
Habari wanajf...Naombeni mnishauri katika hii kitu ya kununua na kuuza hisa. Nina kama milion 5 nataka nijiingize katika ununuzi wa hisa. Nimesikia makampuni ya simu na mengineo yanauza hisa...
salaam wana jf.
Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua anisaidia .
Natanguliza shukrani kwa wana jf wote
Not: kuwa wakala
ingekuwa vyema sana. mtu akitaka kuuza mazao Kenya iwe tu kama anapeleka Dar kutoka Moro. kusiwe na kodi wala mambo ya kufunga mipaka. kwenye umoja kuna nchi 6 na karibia watu 150m ni soko kubwa...
Wataalam wa aerodromes wanifahamishe kuwa hii sentensi inamaanisha nini hasa hapo red:
''Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma unahusisha njia ya kuruka na kutua kwa ndege, yenye urefu wa...
Habar!!
Kama wewe n mfanyabiashara au Dalali na upo Dar au hata mikoani na unataka uwe unaagiziwa mzigo kutoka mbeya ...mfano Mazao au Malighafi yeyote inayotoka mbeya !!
Wasilisha hapa biashara...
Habarini wadau wa uchumi, Naomba kuwauliza kama hili linaweza kuwa ni la kweli au la kupika?: kuna ukweli wowote au ni mazingaombwe....
Uchumi wa Tanzania ulikuwa kwa asilimia 7.9 kwa robo ya...
African capital wanatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali dar es salam kwanzia laki mbili mpaka million kumi na tunanunua madeni.
Huitaji dhamana wala mdhamini riba ni 18% kwa mwaka na unalipa...
MLD GROUP
Tunahusika na usambambazaji na uuzaji wa mchele kutoka maeneo ya kamsamba na Mbeya.
Pia tunapokea order za ku supply katika maeneo mbalimbali e.g: mashuleni, vyuoni, katika sherehe na...
Wanau naomba maelezo ya kina ya kila kinachotakiwa ili kuanzisha kampuni ya ulinzi,nini kinatakiwa,mtaji ni kiasi gani na taratibu nyingine ikiwa ni pamoja na maeneo mazuri ya mufungua ofsi