Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job Fata link hiyo kutengeneza hera
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wameweka calculator iliyorahisishwa kwa ajili ya kukokotoa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka Japan na nchi nyingine zinazouza magari yaliyotumika...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Ninashamba la miti lina miaka 3 naitaji nikakope bank kupitia hiyo miti niendeleze biashala yangu msaada wa mawazo tafadhali
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi ....
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Natangulisha shukrani zangu kwenu. Kuna gari tajwa hapo juu zinapatikana ni mpya kabisa, hivyo kwa Ambay atakuwa muhitaji naomba awasiliane na mim kupitia namba zangu 0659086861. Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani kila siku tumekuwa tukitumia noti zetu katika shughuli mbalimbali ila watu wengi tumekuwa hatujui maana ya alama zilizopo kwenye hizi noti,basi kwa yoyote anayejua maana ya hivi alama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumegunduliwa dhahabu katika mtaa wa Nyanza katika kijiji cha Ikumbayaga kilichopo kilomita 3 kutoka mjini Geita. Mtaa huo wenye watu wapatao 1000 ghafla umekuwa na shamrashamra khasa baada ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wakuu. Katika harakati za kujikomboa kiuchumi ninawaomba tujaribu kujuzana matumizi ya ndizi hasa zile za kupikwa. Mbali na matumizi ya kawaida kama vile 1. Kupika 2. Kutengeneza mbege 3...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD trended downwards last week, just as it was expected. Price moved...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
We deal with everything concerning CASTING pouring instead of welding innovation, Reverse Engineering and design, metallurgical proposal not only that we deal with different sector such as MARINE...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Wakuu, Baada ya kuhudhuria harusi kadhaa kuna wazo nimepata kutokana na changamoto ya uingiaji unayofanana kwingi Tanzania. 1. Kutafuta kadi kama za mwendo kasi au ATM, NMB wana uwakala nazo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
“It’s Monday morning. You are warm and toasty in your bed, hearing the world around you wake up. You allow yourself a little sleep in, and then pull open the curtains. Your swimming pool is...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Habar jf Jaman naombeni kuuliza kuna yeyeto anayepajua mbweni kialaka? mwenye kiwanja uko nataka kununua
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Mh Makonda nimesikia maelezo yako kupitia clouds fm.Swala lako kuhusu Umoja uliouanzisha wa waendesha boda boda na jinsi mlivyojipanga kuanzisha kiwanda cha boda sembe. Kupitia michango ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habarini za saa hiz?nnaomba kuuliza mwenye uelewa kuhusiana na calculation za mikopo ya benk maana jana nmeahindwa kuelewa mpaka nikasitisha mkopo kwanza.nikwamba wanasema calculation...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zena wana JF. Nigependa kupata mawazo yenu wakubwa wangu, eti mtu aliemaliza certificate in business administration anaweza akafanyia wapi field?
0 Reactions
3 Replies
768 Views
Kwa anaeweza kunikopesha pesa za kitanzania zipatazo Tsh Milioni 5 tusaidiane kwa hilo. Kikubwa sina dhamana kama vile nyumba, kiwanja ama shamba. Hivyo basi nipotayari kuweka dhamana yangu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tuma cont ya whatsup tukutimie mifano nk 0686027474
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Bonyeza link hii jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job Fata maelekezo, jaribu bahati yako. Sina uhakika nayo ila tujaribu watanzania wenzangu. Kama kuna mtu anaujuzi na hii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom