Hivi kwanini EAC tusiwe na soko la pamoja la mazao ya chakula?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
ingekuwa vyema sana. mtu akitaka kuuza mazao Kenya iwe tu kama anapeleka Dar kutoka Moro. kusiwe na kodi wala mambo ya kufunga mipaka. kwenye umoja kuna nchi 6 na karibia watu 150m ni soko kubwa sana. Tanzania tuna eneo kubwa na sehemu kubwa inafaa kwa kilimo, tutafaidika sana.
 
Back
Top Bottom