Kama upo Dar na unataka mzigo toka Mbeya

Kama upo Dar na unataka mzigo toka Mbeya

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,722
Habar!!
Kama wewe n mfanyabiashara au Dalali na upo Dar au hata mikoani na unataka uwe unaagiziwa mzigo kutoka mbeya ...mfano Mazao au Malighafi yeyote inayotoka mbeya !!
Wasilisha hapa biashara ianze
Uaminifu mbele
 
Analetewa mzigo anaridhika nao biashara inaendelea
 
Back
Top Bottom