Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mimi ni kijana wa kiume,nmemaliza chuo mwezi huu. Nasubiri vyeti mwisho wa mwaka ambapo ajira rasmi inaweza kuwa mwakani. Kwa muda huu ninafikiria nifanye biashara(nina mtaji wa 500,000) au...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
"With every trade or investment there are four possible outcomes. You can have a small win, big win, small loss or big loss. As long as we make sure we eliminate the big loss from happening, we...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja kati ya vitu pekee watu walitamani kuvisikia ni kurejea kwa thamani na heshima ya pesa za Tanzania na Hii ndio awamu pekee katika miongo 30 iliyopita ambapo watanzania tumekua na heshima na...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD, which has generally been bullish this year, went upwards by 100 pips last week, testing the resistance line at...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Wazo la biashara ni jinsi wewe mwenyewe unavyopambanua mambo, ni sawa na wewe unaweza ona mke wako ni mrembo ila wengine wakaona ni wakawaida sana na kadhalika. ANGALIA HUU MFANO Kuna kundi la...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi Napenda kuwasilisha hali ninayoiona hapa airport kwa kweli si nzuri, Huduma Za matangazo si nzuri-Spika Za matangazo hazitoi Sauti,hata ndege ilichelewa au kutua huwezi kusikia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, matumain yangu hamjambo. Ngoja niende moja kwa moja, n hv nlijichanga nkapata mtaji nkafungua duka la bidhaa mchanganyiko mkoa wa Pwani sasa mwanzon wiki ya kwanza biashara...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Kuna bidhaa zao nimeona na warrant ya miaka 5 ila sijajua hii ni kampuni ya nchi gani na ubora wake in general..mwenye kuijua tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By Lucy Hooker Business reporter, BBC News 27 July 2017 Business Amazon founder Jeff Bezos has overtaken Bill Gates to become the world's richest person, worth $90.6bn (£69bn). A rise in Amazon...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wilaya ya mbozi ni miongoni mwa wilaya zilizopo mkoa mpya wa songwe uliogawanywa kutoka mbeya.Wilaya hii inakadiliwa kuwa na wakazi wasiopungua laki 6 na asili ya wakazi wa wilaya hii wengi ni...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Tunauza miche ya eucalyptus na pine.Tunahudumia mashamba yenye miti ,+255752771966 , +255758884477 na +255753771328
3 Reactions
11 Replies
1K Views
July 28, 2017 Barclays reported a £1.2 billion ($1.57 billion) attributable loss for the first half of the year, as it suffered a loss on the sale of its Africa business. The lender reported a...
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Barrick Announces Dividend PDF TORONTO, July 26, 2017 — Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX)(TSX:ABX) today announced that its Board of Directors has declared a dividend for the quarter of U.S. 3...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kweli inasikitisha kuona taasisi zetu mbali mbali, kama vile Uhamiaji, SUMATRA, TRA n.k zikiwa zimekaa kimya wakati Tanzania tunaibiwa mchana kweupe. Naomba nitoe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkurugenzi mtendaji wa benki ya maendeleo Mzunguko mdogo wa fedha uliopo nchini kwa sasa unaendelea kuzipa Taaasisi za kifedha nchini changamoto ya idadi ndogo ya watu wanaoweka amana kwenye...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za wikeend, na poleni kwa majukumu mazito tuliyonayo kwenye ujenzi wa taifa letu. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nimepata fursa ya kuwa agent ambaye nitakua naletewa hizi bidhaa mpya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau habari za humu. Naomba ufafanuzi katika hili, Kuna mzigo nimetumiwa na ndugu kutoka UK kuja Tanzania na amelipia kila kitu kuhusu transport cost. Sasa nimepigiwa simu na jamaa kutoka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Ujasiriamali kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ni jambo linalohubiriwa sana. Watu wa kada mbalimbali wamelisemea kama jambo la kher, na matokeo yake mwitikio kutoka kwa watu...
22 Reactions
68 Replies
7K Views
Jamani nauza mafuta ya ubuyu, mwenye kuhitaji au ajuaye soko lake mahali lilipo awasiliane nami ktk 0787891477. Matumizi na faida ya mafuta ya ubuyu zinafahamika,hasa kwa wenye HIV na inatibu...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana...
13 Reactions
76 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…