Kuwa open useme ni hisa za kampuni gani na ulinunuaje kwa maana kuwa ulitumia broker gani au ilikuwaje ili tupate namna ya kukusaidia moja kwa moja. Na nini ufany kama zinauzika au laWadau hivi mtu akiwa na hisa hizi ambazo tulikuwa tunauziwa kwenye makampuni kipindi cha Mkapa anaweza kuziuza kwenye soko la Hisa? Utaratibu unakuwaje? Naomba msaada kwa anatejua utaratibu!
Asante mkuu kwa mwongozo huo. Ni kweli kuna kampuni zingine tuliingizwa chaka, mfano tulionunua za NICOL hapo tuliliwa kekundu Wachagga wakakimbia na hela zetu!! Ninazoulizia kama naweza kuuza ni za NMB, Tanga Cement, SwissportIle kampuni iliyokusaidia kununua hisa ndo uwasiliane nao watakusaidia. Kwa mfano, kuna Solomon Stockbrokers Limited. Hata hivyo inategemea ulinunua hisa za kampuni gani maana kuna hisa hazinunuliki.
Asante mkuu,, ni hisa za NMB, Swissport na Tanga cement. Nafikri kipindi hicho kampuni iliyokuwa inahusika ni Orbit securities. Vyuma vimekaza mkuu sijui tuuze hata hizi?Kuwa open useme ni hisa za kampuni gani na ulinunuaje kwa maana kuwa ulitumia broker gani au ilikuwaje ili tupate namna ya kukusaidia moja kwa moja. Na nini ufany kama zinauzika au la
TBL, Tanzania cigarette hisa izo zinauzika na sio makampuni mengineAsante mkuu kwa mwongozo huo. Ni kweli kuna kampuni zingine tuliingizwa chaka, mfano tulionunua za NICOL hapo tuliliwa kekundu Wachagga wakakimbia na hela zetu!! Ninazoulizia kama naweza kuuza ni za NMB, Tanga Cement, Swissport
Umesahau CRDBTbl, Tanzania cigarette hisa izo zinauzika na sio makampuni mengine
Loooh,, mkuu niulize nini tena kwa maelezo haya yaliyoshiba? Kama kuna ulichosahau mkuu basi itabidi niwe mpole tu! Ila kwa uhakika umedadavua vizuri mno utafikri ndio hao jamaa wa orbit ndio wananielezea! Ubarikiwe kiongozi wangu!!Ok, Kwanza cha kufanya inabidi ujiulize je unataka kuuza kwa faida au hasara; kama kwa faida then angalia bei uliyonunulia na uangalie bei za sokoni zikoje. Unaweza angalia kwene website ya DES ila bei zilizoko kuwa they are not the actual transacted price in an online market. What you have to do ni kwenda kule ORBIT moja kwa moja au kupiga simu kuwauliza. ORBIT ipo pale posta kwene jengo moja karibu na PPF tower. Wapo gorofa ya nne.
KUHUSU KUUZA
Hisa za NMB kwa sasa hazina soko japo zipo juu na zinafanya vizuri sokoni. Ila transaction volum yake sio kubwa. Labda kwa hizo nyingine. Tena unabahati hizo za Swiss port zimepanda juzi tena.
Cha kufanya ni kwenda na cheti chako cha umiliki wa Hisa husika na moja ya kitambulisho cha kura au Passport au cha utaifa. Utaweka pledge / bei ambayo unataka kuuza hisa zako. Unaweza ukaangalia pale kwene Dispay yao ya TV inaonesha kila kiti kuhusu hisa zinazoitajika na watu pamoja na bei wanazotaka kununua. So unaweza ukaamua kuuza kwa bei hiyo au ukaamua kushusha ili ziondoke haraka, ni uamuzi wako tu. Kikubwa ukumbuke kwenda na Account namba ambayo utaitaji wakuwekee pesa zako. Pia kumbuka pesa zitawekwa baada ya siku tatu za kazi tangu siku zilipouzwa na siyo tangu siku ulipoenda kuziuza. Unaweza ukaenda leo lakini kusiwe na mnunuzi hadi kesho kutwa. So utaesabu siku tatu za kazi tangu siku hiyo. Ila wapo very customer oriented, as they will call u wakati wanaenda kuweka
KAMA KUNA NILICHO SAHAU WAWEZA KUULIZA
Amina mkuu. KaribuLoooh,, mkuu niulize nini tena kwa maelezo haya yaliyoshiba? Kama kuna ulichosahau mkuu basi itabidi niwe mpole tu! Ila kwa uhakika umedadavua vizuri mno utafikri ndio hao jamaa wa orbit ndio wananielezea! Ubarikiwe kiongozi wangu!!
Chif na hisa ambazo nilinunuaOk, Kwanza cha kufanya inabidi ujiulize je unataka kuuza kwa faida au hasara; kama kwa faida then angalia bei uliyonunulia na uangalie bei za sokoni zikoje. Unaweza angalia kwene website ya DES ila bei zilizoko kuwa they are not the actual transacted price in an online market. What you have to do ni kwenda kule ORBIT moja kwa moja au kupiga simu kuwauliza. ORBIT ipo pale posta kwene jengo moja karibu na PPF tower. Wapo gorofa ya nne.
KUHUSU KUUZA
Hisa za NMB kwa sasa hazina soko japo zipo juu na zinafanya vizuri sokoni. Ila transaction volum yake sio kubwa. Labda kwa hizo nyingine. Tena unabahati hizo za Swiss port zimepanda juzi tena.
Cha kufanya ni kwenda na cheti chako cha umiliki wa Hisa husika na moja ya kitambulisho cha kura au Passport au cha utaifa. Utaweka pledge / bei ambayo unataka kuuza hisa zako. Unaweza ukaangalia pale kwene Dispay yao ya TV inaonesha kila kiti kuhusu hisa zinazoitajika na watu pamoja na bei wanazotaka kununua. So unaweza ukaamua kuuza kwa bei hiyo au ukaamua kushusha ili ziondoke haraka, ni uamuzi wako tu. Kikubwa ukumbuke kwenda na Account namba ambayo utaitaji wakuwekee pesa zako. Pia kumbuka pesa zitawekwa baada ya siku tatu za kazi tangu siku zilipouzwa na siyo tangu siku ulipoenda kuziuza. Unaweza ukaenda leo lakini kusiwe na mnunuzi hadi kesho kutwa. So utaesabu siku tatu za kazi tangu siku hiyo. Ila wapo very customer oriented, as they will call u wakati wanaenda kuweka
KAMA KUNA NILICHO SAHAU WAWEZA KUULIZA
Chif kuna hisa ambazo nilinunua Yetu microfinance bank VIP kuna uwezekano wa kuuza kwenye company Tofauti TofautiChif na hisa ambazo nilinunua
Namm naufufua huu uzi kwa kuuliza nataka kuuza hisa zangu za nmb kupitia simu (nmb mkononi au mpesa) kila nikijaribu kesho yake nakuta oda rejected nimejaribu mara nne sasa.. broker anaitwa Exodus advisory services ltd.. 😪 sijui tatizo ni nini?? Msaada pleaseWadau hivi mtu akiwa na hisa hizi ambazo tulikuwa tunauziwa kwenye makampuni kipindi cha Mkapa anaweza kuziuza kwenye soko la Hisa? Utaratibu unakuwaje? Naomba msaada kwa anatejua utaratibu!