Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Napenda kuwasalimu wana JF wenzangu habari za weekend na pia poleni sana kwa uchovu wa pilika pilika za wiki nzima. Bila kupoteza muda naomba nije moja kwa moja kwenye mada; Leo naomba...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
if you are unhappy with your salary, you are in the wrong job. Look elsewhere, preferably follow your dream if you have any: MWATHAI Muguku started with two hens and a cock to supply eggs for...
3 Reactions
61 Replies
10K Views
Kwanza hongereni kwa michango yenu ya kujenga, huwezi kupita jukwaa hili usipate kitu kipya. Ila pia kwa upande mwingine baadhi ya washauri, wachangiaji ni wakatishaji tamaa sana. Mtu anaomba...
19 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimesubiri refund walisema ni siku 15 au 20 nimesubiri mpaka hamna nilichopata nifanyeje customer care wao wanajibu maswali mepesi tu
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa wadau, Niko Sengerema ni mwezi sasa, nahitaji kujua fursa nyeti zitakazoweza kuniingizia kipato iwe ni ya gari, kilimo na hata ujasiriamali. Naomba mawazo yenu wana JamiiForums.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba ushauri, Nataka nifungue platfom google ambayo itahusika na utoaji wa mafunzo ya mapishi kwa njia ya masafa marefu yaani distance learning na mtu atakua anabook kipindi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, Katika tafiti zangu zisizo rasmi, nimegundua kizazi kinacholalamika kuhusu ajira, naongelea degree holders ni waliomaliza kidato cha nne mwaka 2010 na kurudi chini. Na...
14 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu. Nimepata kubadilishana mawazo na wafanyabiashara wakubwa , wengi wao wanaelezea jinsi walivyohamisha mitaji yao na kutoa pesa kwenye mzunguko nchini, Na mitaji yao wameipeleka mataifa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mfanyabiashara wa dagaa za Mwanza za kukaanga pamoja na samaki kutoka Mwanza, nimeanza biashara hiyo nina mwezi mmoja. Changamoto kubwa ninayokutana nayo ni gharama kubwa za uendeshaji...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari humu ndani nimenunua asali ya nyuki wakubwa toka TABORA dumu la Lita 20 kwa laki moja na arobaini ninaomba formula ya kupata being ya kuuzia please nasubiri.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za Leo wadau. Tafadhali naomba kueleweshwa vizuri juu ya matumizi ya mada tajwa hapo juu. Nimegundua fursa ya kuwekeza mtandaoni ambapo Nina uwezo wa kupata faida kubwa kwa muda mfupi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msipende kufurahi kwakila ubaya wanaotendewa wapinzani kwani upinzani ukiwa hauna nguvu serikali inaweza kujiamulia chochote ifanye pasipo kuhofia lolote. Kushinda njaa hakumfanyi mtu kuwa tajiri...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jamvi!! Mimi ni kijana Mtanzania Halisi Mwanzilishi Community Based Organization (CBO) iitwayo lifelong learning community based organization yenye ofisi iliyo sajiliwa mkoa wa Dodoma...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
amani ya mwenyezimungu iwe nanyi wadau naombeni ushauri baba kaka dada na rika zangu ambao naamini mnayajua maisha kuliko mimi,... kwa mshahara ninao pokea kwa mwezi nauwezo kwa suisave laki...
0 Reactions
83 Replies
13K Views
Mwanzoni haikua rahisi, ile miezi miwili au mitatu sitaisahau kwenye maisha yangu kwani ilikua ni migumu sana Biashara niliyoanza nayo haikua biashara sahihi kabisa mambo yakawa magumu sana tena...
11 Reactions
44 Replies
5K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Dk. Philip Mpango akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi rasmi wa uuzaji hisa za Maendeleo Bank PLC uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hisa za...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi naitwa Obadiah, jinsia mwaname, jamani naomba ushauri na experience ya kununua gemstones Tanzania na kupeleka kuuza Canada kwasababu nina VISA ya Canada na nimetafuta VISA because nataka kuwa...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Nahitaji kiasi cha kuanzia laki sita. Nina business idea lakini sina wa kunishika mkono.am alone. Kinachonikwamisha ni mtaji tu Mimi ni mwaminifu tutaandikishana then tutapatana kiasi cha...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
habari zenu wana JF, Kijana mwenzenu nimefikiria bishara tajwa hapo juu ili kuweza kujikwamua na hali hii ngumu ya uchumi, Nina Kaeneo kangu ambako Nimeshindwa kukaendeleza kutokana na hali ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
1. Kamwe usiamke mapema wala usiwaze maendeleo waza ngono muda wa kuamka kama huna usingizi ingia FB au insta, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. Kamwe usipange jinsi...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…