Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Bila shaka neno uchumi limebeba maana nzito yenye tafsiri rahisi katika maisha ya watu. Porojo za takwimu za mtakwimu Mkuu huwenda ni sehemu ya maana lakini tafsiri itabaki kwa Umma. Tumeanza na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimeamua kujikita katika biashara ya mboga mboga kama vile pilipili hoho, karoti na mboga za majani etc. Ningefurahi sana kufanya biashara na soko la Ulaya. Natambua kua soko la ulaya linahitaji...
0 Reactions
79 Replies
40K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The market consolidated from Monday to Wednesday and then dropped sharply on Thursday and Friday. There is a Bearish...
1 Reactions
1 Replies
778 Views
Habari wakuu, Ninataka kuuza biadhaa yangu(machine ya umwagiliaji) yenye thamani ya Tsh 3 millions.Sasa makubaliano yetu ni kwamba watanilipa pesa nusu na nyingine watamalizia kulingana na muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haki mmelogwa..juzi nlizungumzia QNET haya nasikia kuna hawa wengine soma vile wanajitambulisha Questra Holdings ni kampuni ya Uwekezaji. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2009 ikijulikana kama SFG...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kilimo/ufugaji Mende kina soko kubwa sana nchini China. Sisi huku mende si tunawaua? Kazi Ni kwako katika kutumbua jipu la umasikini. ====== Wapo wafugaji nchini China wanajikita na ufugaji wa...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Wakuu habari za muda huu. Nakuja mbele yenu na mambo kadhaa ambayo naomba mwenye kujua chochote juu yake anijuze. Hivi, wachoraji wa picha za tingatinga zile rangi wanazotumia ni rangi za aina...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari za jumapili, poleni na kazi za wiki nzima. Nataka kuanzishaa biashara ya kuuza mayai ya kienyeje yale local kbss yani kiini cha njanoo na sio chotaraa. Naombeni ushauri ni wapi naweza pata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamii forum.. Naomba kufahamishwa.. Nataka kuagiza basi aina ya Youtong kutoka china,,, Nataka kujua kuhusu 1..bei 2..ghalama za usafirishaji 3..kodi kwa hapa Tz 4.. Na ghalama...
1 Reactions
22 Replies
16K Views
Waungwana poleni na majukumu!,nakusudia kuanza harakati naomba tujulishane nani amewahi kupata mtaji kamili au kuongezewa mtaji na taasisi ya fedha kupitia 'Business Plan' yake au ndo zimebakia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
AngloGold, African Barrick in Talks on Tanzanian Tax Refunds 2011-04-26 By David Malingha Doya April 26 (Bloomberg) -- AngloGold Ashanti Ltd., African Barrick Gold Ltd. and other miners of...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
Wapenzi wana jf hamjambo? Nimekuwa nikitamani kufanya biashara za kijasiria mali na mda mwingi mimetamani kujua haya kama mada tajwa hapo juu. A. SOKO LA SUNGURA. Hii inamaama kuwa nataka kufuga...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ni Kwa muda sasa nimekuwa nikiifuatilia hii biashara ambayo si maarufu hapa nchini kwetu Tanzania .Biashara hii imejikita katika ukusanyaji na uuzaji wa kazi mbalimbali za zanaa za ubunifu mfano ...
3 Reactions
8 Replies
6K Views
If you’re one of the many business owners spinning numerous plates and tackling everything that needs doing single-handed, or indeed if you’re a consultant helping said business owners in areas...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Salute comrades, Kuna exchange programe ya NGO moja nilifanya application, nikaitwa interview mara kadhaa na hatimae jana nilipokea email kuwa mimi ni mmoja wa vijana kumi ambao tutaenda kwenye...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Salaam wakuu. Nimevutiwa na taarifa niliyoisoma kwamba kampuni Fulani inayojihusisha na michezo ya kubahatisha imelipa bilioni mia mbili na milioni mia moja kama kodi kwa kile walichoingiza mwezi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
SIYO KILA MWENDAWAZIMU NI MWENDAWAZIMU !! Palikua na mfalme na mwendawazimu ambao walikutana makaburini. Mfalme: imekuaje wewe unaishi makaburi siku zote?! Na hutaki kuondoka mahala hapa...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Bitcoin imepanda sana wiki hii. Leo imefika 2850.01usd update: Leo August 13 bicoin imefika $4145 kweli natamani mifumo yetu ingekubali matumizi ya fedha hizi za kimtandao na kusaidia kuepusha...
3 Reactions
59 Replies
14K Views
Kwanza napenda ku "declare interest". Kama kuna ex-diaspora basi mimi nime qualify. "Opportunity is rare, grab it when it appears". Hivi karibuni tulianzisha mjadala wa tulioupa kichwa cha...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…