Wenye uzoefu wa biashara za kuzungusha bidhaa za maduka ya nguo na vitu vidogo vidogo vijijini nataka nianze Kazi Mara 1

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara za kuzungusha bidhaa mbali mbali za maduka ya nguo na vitu vidogo vidogo vijijini nisaidie nataka nianze Kazi hii bora niende kijijini nimeona Kuna pesa nzuri

Yule mwenye uzoefu na biashara hizi anipe ufafanuzi ni wapi anachukulia bidhaa Kwa bei nafuu na kwa bei nzuri ambayo inaleta tija asantee.


NB: njia ya usafiri ni kuzungusha bidhaa Kwa baiskeli!
 
Umeuliza maswali mawili ,biashara ya nguo vijijini na mahali pa kupata mzigo wako!
Maswali haya yanadhihirisha kuwa hujui unachotaka kufanya kwa undani au pengine umeshindwa kujieleza!
Lqbda nisaidie kujibu LA pili!
Kama unataka nguo za jumla ni Kariakoo,inategemeana sasa ni nguo gani unataka!
 
Back
Top Bottom