Habari Wanajukwaa!
Natafuta namna ya kumtoa dogo. Mdogo wangu amehitimu udaktari ila hajapata ajira. Tunataka aanze duka la dawa, akijipanga kuelekea kuanzisha zahanati yake. Sehemu ya kufungua...
Magufuli wants oil pipeline now
November 9, 2017 National News, NewsComments: 0
By Ssebuliba Samuel.
The president of Tanzanian Dr John Pombe Magufuli has asked the government of Uganda to...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
The market went sideways from Monday to Wednesday and moved further south on Friday (in the context of a downtrend). The...
Ninafikiria kufanya biashara ya battery fulani ambazo zinapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa mtumiaji ila sina uhakika kama soko ni kubwa kihivyo. Hivi ni biashara gani zina matumizi ya kila...
Nina wazo wakuu ningependa tukusanyane Kwa pamoja tuunge kikundi cha vikoba. Na tuanze kukopeshana mitaji sisi Kwa sisi lengo ni kusaidiana na kutatuliana changamoto hizi za maisha yetu ya kila...
Wasalam
jana nilipata muda wa kuhuzulia semina zinazoendeshwa na clauds media pale royo village dodoma
Nampongeza sana huyu mwanzilishi wa wazo hili kwamba kila wanapo kua na fieata basi na...
Natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu!
Mimi ninaishi maeneo ya shule, naweza sema ndani ya shule fulani hapa mkoani! Shule hiyo ni ya wasichana na ina O'level na Advance! Sasa hapa kuna...
Habari wana jamvi wenzangu...
Baada ya kuona jambo hili na kuliangalia jinsi linavyoenda nimeona nilete kwenu kwa msaada wa zaidi. Nahitaji kwa mwemye uzoefu na biashara hii anisaidie mambo haya...
Za asubuhi nyote.
Naombeni msaada kidogo wa kupatiwa maeneo ambayo kuna wakulima wengi wenye kulima mazao ya biashara. Na wakulima wenyewe wanauza kwa vikundi au wanauzia makampuni moja kwa moja...
Habari wandugu, poleni na mihangaiko.
Kusudio langu kwa wale wanaofahamu gharama ya kupata CRDB visa or master card inagharimu sh ngapi. Lengo ni kufanya malipo ya nje ya nchi na pia kuunganishwa...
Uhali gani mwana Jamii Forum, natumaini umzima kabisa.
Husika sana na title hapo, napenda kuuliza: Inawezekana kwa mtu binafsi kuanzisha sehemu ya biashara zinazofanyika hasa vijijini ambazo...
Wakati Gazeti laThe Citizen likiripoti kushuka kwa ukuaji wa uchumi kulingana na projection ya Benki ya Dunia, Gazeti la Daily News lenyewe linaandika: "Dar economy is flying high" huku yote...
Hii ni kwa wale wageni wanao kuja jijini mwanza, rejea kichwa cha habari hapo juu na kupiga namba hii 0763269695 ili ujipatie usafiri na mapokezi yenye uhakika mpaka sehemu utakapo fikia. TUNAKU...
Wadau naipongeza sana Serikali ya Awamu ya 5 Kwa sera yake ya ufufuaji VIWANDA.Furaha yangu itakuwa pale Kiwanda cha nyama na nguo vitakapo fufuliwa.(TANGANYIKA Packers na Urafiki)
Sent using...
Nahitaji kununua gari ya biashara aina ya coster, najua kuna wajuzi wa haya mambo nahitaji kufahamu gharama za uendeshaji wa hii biashara, itanilipa baada ya muda gani, na hasara zake ni zipi...
Maswali
1. Elezea ni kwanini riba za bank za Tanzania ni 18%-25% wakati nchi nyingine wana riba za 5% kwa sasa?
2. Je hii inapunguza vipi kupanuka kwa uchumi?
3. Je tufanyaje kupunguza riba na...
Wakuu salaam,
Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha uchapishaji vitabu (Micro Press). Ninaomba msaada kwa mwenye uzoefu na shughuli hizi katika mambo yafuatayo:
1. Aina za Mashine za muhimu...