Habari ya uchumi: The citizen vs Daily News

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Wakati Gazeti laThe Citizen likiripoti kushuka kwa ukuaji wa uchumi kulingana na projection ya Benki ya Dunia, Gazeti la Daily News lenyewe linaandika: "Dar economy is flying high" huku yote yakiongelea habari ile ile!

Kweli safari hii kazi ipo!

 
moja la seriksli moja binafsi
moja linasema ukweli moja ladanganya
 
Back
Top Bottom