Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa wale wote wenye uhitaji wa fulanaa au manga Kali zilizokwixha printiwa zinapatikanaa hapaa kwangu nichek kwa nambar 0658176932or 0742036732 au unaweza nichek au kunifollow instragram follow...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
kwa anae tumia ADVCASH ...ukishajiunga kuna sehem 3 za kujaza ile ya pili wanadai baadh ya vitu flani flani hivi ila kwangu nimeona nafuu barua ya utamburisho kutoka bank but nilipoenda bank...
0 Reactions
6 Replies
842 Views
Wadau ni njia zipi nifuate ili kufanya kazi na haya makampuni??? Pls kwa anayejua na aliyefanya nao naomba anaeleze. N:B Pia mapungufu ya kazi hiyo mniambie wadau. Kwa urahisi waweza ni sms...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Haya ndgu zangu wa kanda ya ziwa, tujumuike pamoja kupata mafunzo ya Forex yatakayoanza tarehe 20 November 2017 jijini Mwanza. Training hii itaendeshwa na wataalam wa hii business The Million...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani habari za humu ndani. Naombeni msaada jinsi ya kuwa freelancer wa airtel. Niko Tabora.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa kiasi kikubwa sasa biashara (Industry) mbalimbali zinakutana na mabadiliko mengi na yasiyotarajika na kutabirika (environmental uncertainty). Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mwenye uelewa na biashara ya kutengeneza chakula cha mifugo na pellets anisaidie. Ikiwa rawmaterial ni pumba na mashudu.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii habari ni mbaya sana kwetu Watanzania, lakini pia ni fundisho kwetu tujisahihishe kujua ni wapi tunapokosea katika mikakati ya kukuza uchumi wetu. India imeweza kuuza Tanzanite yenye thamani...
2 Reactions
85 Replies
15K Views
Habar wakuu Kutokana na maisha yalivyo kwa sasa ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kuifanya akajikwamua kimaisha?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu, nauliza msaada wenu, hivi faini ya pale bandarini kwa siku ukichelewa kuclear gari lako ni shilling ngapi kwa siku? Naomba msaada wenu, Kuna gari nimeagiza lakin jana ilikuwa siku...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Utangulizi Fuatilia maelezo ya kila mfumo ukitilia maanani faida na hasara za kila mfumo. Unaweza pia kumtumia mshauri wa masuala ya biashara kukushauri kulingana na mazingira yako utakayofanyia...
2 Reactions
1 Replies
8K Views
22.6m/- set for monthly innovative ‘green’ idea winners BY DAILY NEWS REPORTER 12 APRIL 2018 Dar es Salaam online platform has introduced a sustainable social media platform...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi viwanja vya Songwe Mbeya Vijijini kwanini vinauzwa kwa bei kubwa hivi? Kwenye makazi square metre wanauza 11,500/=. Hii ni ardhi ya Serikali au? Kiwanja cha square metre 600 ni milioni...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Kulingana na usawa huu ulivyo, na jinsi kipato kilivyo kigumu upatikanaje wake na hata kinapopatinakana hakikidhi mahitaji na hapo hapo unahitajika uweke akiba i wonder how is it possible kwa...
13 Reactions
86 Replies
13K Views
Kama kichwa cha habar kinavojieleza hapo Je ni watanzania wangap ambao wamechukua hatua ya kutalii kwa maana ya kupanda mlima kilimanjaro kama part ya adventure na kivutio. Watanzania tuna moyo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau, Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye nchi yetu ya Tanzania karibu kila wilaya kuna madini ya aina fulani yenye thamani. Wakuu ninaomba tubadilishane uzoefu katika eneo hili. Ni aina gani ya...
2 Reactions
74 Replies
22K Views
“ILI KUPATA FEDHA LAZIMA UWE NA KITU CHA KUUZA.” Bila kumung’unya maneno, nafikiri wote tutakubaliana na tafsiri ya fedha kama njia ya kubadilishana bidhaa au huduma baina ya mtu mmoja na...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Poleni kwa majukumu wapendwa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa yoyote analelewa bakery kubwa ya kutengeneza bidhaa(bite) kama mikate na kuendelea katika jiji la dar tofauti na hizo bakery...
2 Reactions
37 Replies
9K Views
Hii ni kwa wanafunzi walioko vyuoni ni nafasi nzuri ya kufanya kwa vitendo yale tunayosoma darasani. Jiunge sasa kwa kupiga *150*36# (tigo) ambapo utapatiwa sh. millioni moja (virtual money)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jf, Mimi ni mkazi wa dodoma (nje ya mji), naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara ya bidhaa tajwa hapo juu Maswali yangu ni kuwa 1.dozen ya mifuko ile black...
1 Reactions
60 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…