DSE scholar investment challenge

GEORGE TUMAINI

New Member
May 25, 2013
2
20
Hii ni kwa wanafunzi walioko vyuoni ni nafasi nzuri ya kufanya kwa vitendo yale tunayosoma darasani. Jiunge sasa kwa kupiga *150*36# (tigo) ambapo utapatiwa sh. millioni moja (virtual money) ambayo utaitumia kuwekeza katika kununua hisa za makampuni mbalimbali.hili ni shindano la miezi mitatu na limeshaanza na mwisho ni mwezi wa sita mwaka huu 2014 kwa maelezo zaidi tembelea website ya DSE. (kwenye link ya DSE RULES & REGULATION)
HOW TO PLAY
  • Use your mobile form to dial the USSD Code *150*36#
  • Complete the registration process
  • Create your own unique password for accessing your account
  • The challenge is largely mobile (SMS) based – platform provided by Selcom Wireless
  • Each participant (individual/team) will be given an initial virtual capital of TZS 1,000,000/-
  • Participants will use the DSE website (DSE: Dar es Salaam Stock Exchange) to access current prices and available shares
mimi ni mmoja wa washiriki kutoka chuo cha IFM.(GEORGE FIRIMINI)
 

92Ubuntu

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
211
250
Mm in mmoja kat ya wanafunzi nilemaliza diploma IFM inashangaza kuona hakuna muamko Wa kupigania fursa nilijua Uzi ungekuwa una participants wakutosha ila ndio doro.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom