Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya. Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri. Naitwa Francis Jackson...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana jf. Natumai mu wazima na mnaendelea vyema katika ujenzi wa taifa.Binafsi ninafatilia san thread znazofanyika na kwa mtzamao wangu kati ya yote ayo idea ya biashara ndo imekuwa kikwazo...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji mkopo wa kufanya project ya kilimo, lkn dhaman ni kiwanja chenye ukubwa wa 18*19 kipo Mbezi Dsm, nahitaji sana mkopo huo ili niweze kujikwamua, kimaisha maana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Poleni na shughuri za ujenzi Wa taiga, naomba msaada Wa kujua ni hatua zipi napaswa kupitia pamoja na gharama ambazo natakiwa kuzilipa ili nipate hati kamili, kiwanja hicho nilikinunua kwa mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza je biashara ya genge la kuuza vitu vya kawaida vya mtumizi ya nyumbani ya mlaji kama nyanya, vitunguu etc ina ulazima wa kuwa na TIN? Na leseni ya biashara kama maduka? Je linakatwa kodi...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
*BRANCH WAKALA INVESTMENT PLATFORM * *HABARI MEMBERS * *BRANCH WAKALA INVESTMENT PLATFORM* *ni mfumo wa online system ya mikopo na uwekezaji wa kisasa katika mfumo wakielectronic...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba mwenye kujua garama za kufungua saite na niweze kuwa nafyatua tofari za saruji ni shilingi ngapi ,garama ya machine na vinginevyo
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Hapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwanza niseme asanteni sana kwa watu wote waliowahi kusoma threads zangu au kunitafuta kuhusiana na biashara ya Real estate hasa katika Jiji jipya la Dodoma. Kipindi nimeanza...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Leo katika pitapita zangu nikaona tangazo la NMB kuwa kwa sasa wanatoa mkopo nafuu kwa watumishi na wamesema ni asilimia 11% pia kuzingatia 1/3 ya mshahara..... Maswali yangu.. 1. Iyo 1/3 ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kampuni ya Coca-Cola Nyanza Bottlers ya Mwanza imemwaga zawadi kwa washindi wa promosheni ya Mzuka wa Soka na Coka inayoendelea.Wakazi 16 wa kanda ya ziwa wiki hii wameweza kukabidhiwa zawadi...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Sipendi niwachooshe saana na nisiwe mwongeaji ila kwa ufupi nimeona nivema tukasaidiana baadhi ya vitu either katika kujibu au kufundishana Mimi najitolea kufundisha sabuni ya maji kwa vitendo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Zao la Kokoa hutokana na mti wa kakao (Theobroma cacao) ni maarufu sana katika nchi za Cameroune, Ivory Cost, Ghana na Nigeria na huko ndiko zaidi ya nusu ya kakao yote duniani inazalishwa kikubwa...
5 Reactions
20 Replies
22K Views
https://africanentrepreneurshipaward.com/
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Habari ya muda huu wanajamvi. Siku zote tumekuwa tukisikia story za mafanikio katika biashara Fulani bila kusikia changamoto au ugumu wa biashara hiyo hali inayopelekea wengi kushindwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ndugu wa JF Nimefuatilia thamani ya shilingi yetu kulinganisha na Dolla katika kipindi cha wiki mbili na nimegundua kwamba inaporomoka thamani kwa kasi sana. Kwa mfano leo ubadishwaji wa...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za majukumu wanaharakati, naomba kufahamu kama kampuni ya kutengeneza na kuuza Mashine za Tofari za Interlocking, Yenye makazi yake south África kama wana branch hapa tanzania, kama ipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fumbuka Ng'wanakilala 3 MIN READ DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania’s communications regulator has given bloggers two weeks to register their platforms under strict new online content rules...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Hii kampuni ya kuuza magari SBT Japan wanachosha kwa simu. Nime block namba zao kibao, lakini wapi. Kumbe kuna SBT Kenya na Tanzania ambao nao hawachoki kutwanga simu kila mara. Je, unapata...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…