...Uamuzi wako wa kusikiliza sana maneno ya watu na kuwafanya wao ndio majaji na wa waamuz wa maisha yako, yaani mpaka wakuthibitishe wao ndio ufanye jambo, itakugharimu nguvu nyingi sana Kufikia...
Sisi wanaume sio wote wamepewa uwezo wa kiume
-Wengi wamekwama
-mitaji. hawana
-njia hawajaijua
-wanaume tuwezeshane kiuchumi
-wanaume wa tanzania tunaweza zaidi
Natafuta wa kuniwezesha...
#MONEY_MISTAKE 1
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
#MONEY_MISTAKE 2
Usitumie pesa...
Wadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,,
Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika
1-Kodi ya nyumba
2-Umbali na usafir kutokea mkuranga
3-Huduma za kijamii n.k
Za mda huu wadau JFGT, naamini mko vizuri na siku mnaimalizia kwa amani
Niende kwenye mada;
Katika utafutaji wa maisha hasa pale unapoamua kujikwamua kimaisha na hali bado uko chini sana na...
Habar zenu wakuu
Naandika huu Uzi nikiwa na masikitiko makubwa sana . .
Nimefanikiwa kua na kibanda changu cha tigopes maeneo flani hapa dar...
Kabla sijamuweka mtu Wa kufanya huduma kwenye...
Habari wapendwa kuna mtu kaniambia kuna biashara nzuri ya maharege na Dagaa Nyasa kutoka Tanzania huko Africa ya Kusini.
Mwenye kufahamu kwa kina naomba atupe ABC zake hapa
Habari wakuu, mimi nina bidhaa nyingi mnoo aliexpress zaidi ya mwaka sasa nina mizigo ya aina 15 hivi inakuja sasa issue ni kuwa leo nanunua inaniandikia kwamba the total number of order exceed...
Katika watu wakuangaliwa mno ni hawa wafanyabiashara wadogo hususan vijana wanaonunua bidhaa njee ya tz na kuziingiza nchini, nadhani kuna haja ya serikali kupunguza au kuondoa hizo kodi za...
Swala la Location ya Biashara linahitaji hesabu kari sana. Watu wengi sana wanachemka mno hii sehemu.
Unakuta mtu ana wazo zuri sana ila location huja kuua lile wazo.
Wengi baada ya Kodi ya...
Wadau habari!
Nimepata deal la kuuza bidhaa nje ya nchi ila moja ya vigezo vyake package lazima iwe na barcode, kwa hapa bongo wapi naweza kuipata?
Natanguliza shukrani!
Baada ya BOT kufuta benki 5 na kuona wananchi wanalia nje ya majengo ya benki kuwa akiba zao za fedha zimekwenda na maji,
Je ni benki gani nzuri kwa sasa zinafaa kuweka akiba ili kuepusha kasumba...
[emoji683] Unaweza kuwatendea wema watu kwa uwezo wako na kwa nafasi yako lakini wao wakakuchukia vibaya mno cha msingi usitegemee kutendewa wema nao, unaweza kuwapenda watu kwa nafasi zao lakini...
Wakuu,
Nataka kujua wapi wanaweza kumpa mtu mkopo kwa dhamana ya kuweka vyeti vyake iwe cha O-level, Advance, Chuo au vyote kwa pamoja.
Kutokana na hili janga la ajira kutopatikana wasomi wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.