Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,651
Nauliza je biashara ya genge la kuuza vitu vya kawaida vya mtumizi ya nyumbani ya mlaji kama nyanya, vitunguu etc ina ulazima wa kuwa na TIN?
Na leseni ya biashara kama maduka? Je linakatwa kodi kama biashara nyingine ilhali halina record ya mauzo kwa mwaka japo haliingizi pato kubwa?
Ni banda tu la kawaida uraiani!
Na leseni ya biashara kama maduka? Je linakatwa kodi kama biashara nyingine ilhali halina record ya mauzo kwa mwaka japo haliingizi pato kubwa?
Ni banda tu la kawaida uraiani!