Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
Kwa wajasiriamali walioamua kuwekeza kwenye utengenezaji wa shampoo na sabuni za maji,ni kitu gani kinaifanya shampoo kuwa nzito sana!?
Anaenda wapi kaka?!Damuuuuu ,wifi ako ndo anamaliza kuondoka, ungemuwahi ujue
ninajifunza tu kuzitengenezaMkuu una maabara yako?
@mumu amekupa jibu sahihininajifunza tu kuzitengeneza
Wanaohitaji mafunzo ya utengenezaji wa sabuni, makapeti ya aina mbali mbali na artificial juice karbuni PM!
Fungueni viwanda vijana.ninajifunza tu kuzitengeneza