Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8...
2 Reactions
4 Replies
675 Views
Kuna uwekezaji nimetamani kuufanya,, najua nikiufanya naweza kuambulia chochote kinywani Natarajia kuwekeza kama 1.7 MIL.. Na nikifanikiwa kuna uwezekano nikapata pesa nyingi hapo baadae yaani...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
We fix ; -Bad printing -Not cutting -Damage of sensor -not rolling Call/Whatsapp +255783360166
1 Reactions
2 Replies
505 Views
Sitaki kuongea sana, ila kuwa risk taker sio sifa, Sifa ni kuwa calculated risk taker. Sasa unabet alafu unasema I'm risk taker, Damn!!! Learn how to take calculated risk, huwezi risk nothing and...
5 Reactions
13 Replies
928 Views
Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF. Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya...
110 Reactions
101 Replies
14K Views
Imeandaliwa na Smart Finance SW Siku hizi, watu wengi wanapenda kusikia kuhusu habari za passive income. Wanavutiwa na njia za kutengeneza pesa kupitia mfumo huu. Kama hujui passive income ni...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako. Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china. Ata uwe na connection...
15 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wadau. Kuna mahali nimeona hii fursa kwa hiyo ningependa kujua vibali vinavyohitajika na vifaa vinakopatikana
1 Reactions
4 Replies
504 Views
Wakuu habari Nimekuwa nikutumia hii program kwa muda kidogo baada ya kukutana na threads kadhaa humu JF nami nika-download na nikaanza kutumia kama kawaidia. Nilikuja kushangaa kuona program...
1 Reactions
10 Replies
633 Views
Poleni na majukumu wadau, me naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya dagaa (wakavu) wa mwanza kupeleka Dar, naomba kujua gharama za kununulia kwa wavuvi, gharama za kuwakausha pamoja na...
5 Reactions
651 Replies
261K Views
Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari mazee . Leo nataka nikupe kichupa ambacho nimekichek youtube nikasema nikipige na AI kisela niwaletee wana mjifunze kuhusu ujasiriamali. Movie inaitwa "The Billionaire", Thailand movie...
0 Reactions
3 Replies
582 Views
Habari wanajf awali ya yote niwapongeze uongozi mzima wa Jamiiforum pamoja na Wana member wenzangu humu! Natumaini yote tu wazima wa afya, Sasa bwana Leo kilichonileta ni hiki kama Uzi unasema...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Habarini wana jf nina mtaji wa 310,000 tsh lakini nataka nitumie 150,000/= kufany biashara ya juisi za matunda. Naombeni ushauri sina blender wala freezer. Nawasilisha
2 Reactions
5 Replies
534 Views
Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata...
1 Reactions
2 Replies
621 Views
Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea...
2 Reactions
2 Replies
354 Views
Version 1.0 Release Date: September 2025 Authors: BFC Core Team Website: www.bongoflavorcoin.com (Placeholder) Contact: info@bongoflavorcoin.com 1. Abstract In the pulsating heart of Africa's...
2 Reactions
3 Replies
867 Views
Tuseme ni 0.95% tu ya watu duniani hua wanaelewa exchange rates znapatikana vp, hizi rates ndo znatumika na wale vijana wa mT5 pia kufanya biashara lakini mpaka leo hawajui hizi rates zinatokana...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
HAbari zenu wakuu. Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo. katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…