Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

VIwanja vya Sabasaba iwe ni eneo ambako bidhaa za madini yetu kama mikufu, heleni, bangili na pete vinavyotokana na madini yetu vinauzwa kwa wingi na kwa bei nafuu. Kama tutafanya hivyo...
1 Reactions
2 Replies
120 Views
Natafuta anayeuza madini ya graphite hapa TZ. Nataka anayeuza kwa kilo na sio kwa tani Ani pm namba yake. Mi nipo dar
3 Reactions
5 Replies
611 Views
Habari wana jukwaa,naomba mnipokee mimi ni mgeni humu nilikuwa guest member kwa miezi miwili kabla ya kujiunga rasmi hii leo,naombeni ushirikiano wenu nauza Accesories mbalimbali classic pamoja na...
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Je, unajua kuwa biashara ya mbao na samani inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato ukiifanya kwa mipango sahihi? Kadiri watu wanavyojenga nyumba, kufungua ofisi na kuboresha makazi yao, ndivyo...
4 Reactions
2 Replies
190 Views
" Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi...
1 Reactions
0 Replies
329 Views
BIASHARA YA VIPURI VYA MAGARI NA PIKIPIKI: FURSA YA KUJIAJIRI TANZANIA Gari likiharibika, mmiliki anaweza kuahirisha safari, lakini hawezi kuendelea kulitumia bila kurekebisha tatizo. Hapo ndipo...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Sijui Ni Nani Atakaesoma Hii Thread. Ila Nategemea Kama Mtu Ni Mfanyabiashara basi ataweza Kunielewa Vyema Kile Ninachokipitia. Sifa Kubwa ya Biashara Yoyote ile na Ustawi Wake ni Uaminifu...
16 Reactions
26 Replies
548 Views
Nikuletee ngapi, size ipi M,L,XL na rangi gani Tajiri, almost free delivery DSM ✅ BRAND NEW ✅ QUALITY ASSURED ✅ 15,000/=
5 Reactions
50 Replies
1K Views
Habar wakubwa! Nnataka kuanzisha Duka la kuuza nguo za watoto(Wakiume na wakike) kwa jumla mkoan lindi. So nlitaka kupewa connection ya agents wanaoleta nguo hzo za watoto toka nje ya nchi.
2 Reactions
3 Replies
120 Views
1. UTANGULIZI Katika soko la hisa, kufanya uamuzi wa kununua au kuuza hisa ni hatua moja tu ya uwekezaji. Mwekezaji anahitaji pia kuelewa kinachoendelea baada ya kuweka oda yake ya ununuzi au...
1 Reactions
1 Replies
327 Views
Hua sielewi dhamani ya dhahabu kua kubwa duniani na kuheshimika kuliko madini yoyote hasa SERIKALI za duniani kutumia na kuamini kua ndio mkombozi,mbadala na kinga ya msukosuko wa uchumi dunia
3 Reactions
21 Replies
364 Views
Hakuna biashara duniani inayoweza kugeuza maisha ya mtu kutoka umaskini wa kutupwa hadi kuwa bilionea ndani ya masaa 24 kama biashara haramu ya dawa za kulevya (Ubwabwa/Unga). Lakini nyuma ya...
18 Reactions
83 Replies
2K Views
Dunia ya sarafu za kidijitali imeingia kwenye taharuki kufuatia madai ya shambulizi kubwa la kimtandao dhidi ya Binance, inayotajwa kuwa mojawapo ya majukwaa makubwa zaidi ya biashara ya crypto...
6 Reactions
4 Replies
215 Views
Ni habari nazozipata kutoka chanzo cha kuaminika kisicho na shaka hata kidogo Jirani tunachekeana lakini chuki aliyonayo kwangu ni kubwa. Na mimi nimewahi kupata ushindani mkali kiasi kwamba...
1 Reactions
1 Replies
179 Views
Wakuu a-saamu aleykum... Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina mpango wa kuwekeza kwenye biashara ya bodaboda. Nipeni ushauri, aina gani ya pikipiki ni nzuri, ntapataje dereva na kwa siku...
11 Reactions
329 Replies
41K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee...
1 Reactions
1 Replies
239 Views
Soko la kariakoo ndio soko kubwa Tanzania na afrika mashariki lenye kila aina ya products , zaidi linauza simu za kila aina . Maelfu kwa maelfu ya simu yanauzwa kila siku , lakini ulisha wahi...
5 Reactions
15 Replies
943 Views
Wakuu, Nimetunza hadi nimefikisha laki 800,000/= hadi sasa na bado najiuliza nifanye biashara gani kulingana na kipato nilicho nacho. Kazi niliyonayo iliyonipa hiyo 800k bado niko nayo na nataka...
1 Reactions
12 Replies
394 Views
Anayejua Chimbo la pipi na kufuli kariakoo tujuzane
0 Reactions
5 Replies
277 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…