Wakuu katika pita pita zangu mitandaon nimekutana na hili shirika la Hawa watu wanaoitwa Jamalife helpers global(JHG), wamenipa maelezo yao na namna wanavyofanya kazi , kikubwa wao wanahitaji...
Habarini ndugu jamaa na marafiki, nauza till m-pesa, tigo pesa, na airtel naziuza bei poa kabisa nichek kwanamba hii 0764660000, sipo whatsap kwahiyo unaweza kunipigia au kunitext
Sent using...
Wadau mimi nahitaji mashne ya kubett ila sijui jinsi ya kuipata.nataka nifanye biashara hyo.
Kwa sasa nipo dar ila nataka nikiipata niipeleke iende kupga kazi BUKOBA mjini.
Hiyo ni shirika la ndege la Qatar. Magufuli kwa akili zake ataanza kuwaza ruti za mbali wakati hizi za karibu anashindwa, Rwanda air walianza na east Africa,.
Yajayo ni Hasara tu.
Ninapongeza TRA Bukoba kwa kuhakikisha wafanya biashara Mjini humo siyo tu wanamiliki EFD bali wanatoa risiti za EFD kwa kila huduma inayotolewa.
Ukiingia mgahawani unakutana na EFD
Bar, Guest...
Hali ya sintofaha inayoendelea wilaya ya nachingwea ya kuhakiki mikorosho na wauza korosho
Mtu mmoja aliitwa siku ya jumatatu apeleke risiti zake zote alizouzia korosho alipofika ofisi ya mkuu wa...
Habari zenu
Nimeipitia hii thread na imenisaidia kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo sana hasa kwa aaiye na uwezekano wa kuata mitaji mikubwa
Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa - JamiiForums...
Ujasiriamali ni shughuli inayohitaji ujasiri na uimara kiroho na kimwili. Kama unadhani kufanya biashara au Ujasiriamali ni shughuli yako ya pili au mbadala baada ya kukosa kazi unayoipenda basi...
Nimepata hizi habari ila sina uhakika nazo kwamba CBA bank wamepunguza interest rate from 24% to 21%, ingawa hii rate sio friendly pia ila kama wamepunguza nadhani ni wakati wa mabenki sasa...
Kwanza polen na majukumu, pia mungu ashukuriwe katika kutupatia uhai wa kila siku,
Naanza na kuwapa ushauri wa kupanua biashara yako kimataifa,
1. Sister schools,
Wale wenye shule ambazo...
Wakuu,
Nahitaji kufungua duka kwaajili ya kuuza viatu vya kiume, walengwa ni vijana wenye umri wa kuanzia miaka 15 mpaka miaka 35.
Hivyo naombeni ushauri wenu, ni jina gani litafaa kwaajili ya...
Ndugu wanajf wiki moja iliyopita nilikuja hapa na kuwashukuru kuwa baada ya kunishauri kuwa nifungue genge kwa kamtaji kangu kale ka sh.350,000/=.Nimefanikiwa kufungua genge kwa sh.100000/=na...
Habari wadau?
Hivi ni biashara au huduma gani naweza kuianzisha mwaka 2019 na baada ya miaka 5 ikakua na ikafaa na kizazi changu kijacho. Mtaji wangu mpaka June mwakani naweza kuwa na cash 20M ...
Habari za jioni wakuu, kwanza kabisa nipende kueleza hali halisi ilivyo huku mkoa wa lindi na mtwara kwa hali ya korosho wa hali kimsingi ni mbaya sana kiasi kwamba watu waliokuwa bado na korosho...
Wasaalam.
Wakuu kama mada tajwa hapo juu,
Naomba kila mtu mwenye biashara ya ujasiriamali ambayo amewahi kufanya au pengine mpaka sasa anafanya. Dhumuni la uzi ili kila mtu apate mbinu mbadala...
KIJANA WA UMRI WA MIAKA 20+ AFANYE NINI KUJIHIMU NA MASUALA YA KIUCHUMI NA KIUWEKEZAJI?
Mwaka ndiyo upo ukingoni , wengi wetu wakati huu pia tumeongeza umri kwenye namba za miaka yetu na wengi...
Habari za muda huu wana jukwaa! Naomba kujua tafsiri sahihi ya mmachinga ambae ndie mlengwa wa kitambulisho cha umachinga!
Swali langu: kama wewe ni mtumishi wa serikali mfano mwalim, au...
Hallow guyz,
Ebhana mimi ni kijana mjasiramali lakini katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana a video moja ya jamaa moja akiwa ana refine mawese kwenda mafuta haya yakina korie bila machine...