Tetesi; CBA bank wametangaza punguzo la interest rate up 21%

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
Nimepata hizi habari ila sina uhakika nazo kwamba CBA bank wamepunguza interest rate from 24% to 21%, ingawa hii rate sio friendly pia ila kama wamepunguza nadhani ni wakati wa mabenki sasa kuangalia namna ya kuwasaidia wananchi wanaopenda kukopa kwa ajili ya maendeleo katika nyanja mbalimbali kwa kupunguza riba zao.

Kama kuna mwenye uhakika wa hii taarifa atusaidie maana mimi nimezisikia kwa watu pia sijapata official source ya kuweka ukweli wa taarifa
 
Tatizo lake?

10% ya riba kwa mwaka kwa marejesho ya FLAT INTEREST ni sawa na 17.97% kwa mwaka kwa marejesho ya REDUCING BALANCE

MFANO/MAANA YAKE:-

Ukikopa TZS 1,000,000/- kwa marejesho ya mwaka mmoja kwa riba ya 10% utakatwa jumla ya riba/total interest ya TZS 100,000/- (FLAT RATE) wakati kwa kiwango hicho cha riba kwa REDUCING BALANCE jumla ya riba itakuwa TZS 54,992/-

Utaona kuna tofauti ya TZS 45,008/- !!!!!!

Natumai umeona TATIZO lilipo !! Usiangalia kiasi/digits za Riba bali kanuni Bank inayotumia kukokotoa marejesho
 
Kweli FLAT INTEREST ni tatizo na nimekuelewa sana mkuu.

Asante kwa darasa murua mkuu.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
10% ya riba kwa mwaka kwa marejesho ya FLAT INTEREST ni sawa na 17.97% kwa mwaka kwa marejesho ya REDUCING BALANCE

MFANO/MAANA YAKE:-

Ukikopa TZS 1,000,000/- kwa marejesho ya mwaka mmoja kwa riba ya 10% utakatwa jumla ya riba/total interest ya TZS 100,000/- (FLAT RATE) wakati kwa kiwango hicho cha riba kwa REDUCING BALANCE jumla ya riba itakuwa TZS 54,992/-

Utaona kuna tofauti ya TZS 45,008/- !!!!!!

Natumai umeona TATIZO lilipo !! Usiangalia kiasi/digits za Riba bali kanuni Bank inayotumia kukokotoa marejesho
Na kwa hili jedwali je?
Tusaidie mkuu...
Sema ukikopa kwa miezi 2, jumla ya hela utakazolipa (riba + hela uliokopa) utalipa kiasi gani?
WhatsApp Image 2018-05-10 at 22.55.29 (1).jpeg
 
Na kwa hili jedwali je?
Tusaidie mkuu...
Sema ukikopa kwa miezi 2, jumla ya hela utakazolipa (riba + hela uliokopa) utalipa kiasi gani?
View attachment 772956
Hii taasisi gani mkuu kwny screen shot?

Mbona riba zao ziko juu sana?

Duh,
Yaan ukope 1 million, urejeshe 1.782 million kwa miez 8 tu.

Yaan riba yao ni 78.2% kwa miez 8,

Hii ni sawa na 117.29% kwa mwaka.

THIS IS VERY DANGEROUS LOAN.

HUU MKOPO HATA UKIFUNGUA BIASHARA HALALI HUCHOMOKI WALAH,

VINGINEVYO KAMA UNAENDA KUWEKEZA KWENYE UJANGILI
 
asante great thinker

sasa ndugu ni benki ipi nzuri kwa fixed account
 
Nimepata hizi habari ila sina uhakika nazo kwamba CBA bank wamepunguza interest rate from 24% to 21%, ingawa hii rate sio friendly pia ila kama wamepunguza nadhani ni wakati wa mabenki sasa kuangalia namna ya kuwasaidia wananchi wanaopenda kukopa kwa ajili ya maendeleo katika nyanja mbalimbali kwa kupunguza riba zao.

Kama kuna mwenye uhakika wa hii taarifa atusaidie maana mimi nimezisikia kwa watu pia sijapata official source ya kuweka ukweli wa taarifa

Yes, wamefanya hivyo base lending interest rate....ila rate ni negotiable kutegemeana na mkopaji? ukiwa mkubwa na wao wankuhitaji zaidi kuliko wewe wavyo wahitaji wao mwazungumza na mnakubaliana rate chini ya hapo.
 
Hii taasisi gani mkuu kwny screen shot?

Mbona riba zao ziko juu sana?

Duh,
Yaan ukope 1 million, urejeshe 1.782 million kwa miez 8 tu.

Yaan riba yao ni 78.2% kwa miez 8,

Hii ni sawa na 117.29% kwa mwaka.

THIS IS VERY DANGEROUS LOAN.

HUU MKOPO HATA UKIFUNGUA BIASHARA HALALI HUCHOMOKI WALAH,

VINGINEVYO KAMA UNAENDA KUWEKEZA KWENYE UJANGILI
Ndugu natumaini wengine watakuwepo humu kusoma maoni yako, ni darasa tosha kwa sisi "wamachinga" keep it up, na usichoke kutuelimisha...
 
Mwanabodi DeepPond ingekuwa vyema kushauri benki zinazotoa Mortgage kwa rates nafuu hapa TZ, na vigezo vyake please...ukijibu tutashukuru, ukitupotezea duh!
 
Na kwa hili jedwali je?
Tusaidie mkuu...
Sema ukikopa kwa miezi 2, jumla ya hela utakazolipa (riba + hela uliokopa) utalipa kiasi gani?
View attachment 772956

Hii ni sawa na 180% RIBA KWA MWAKA/INTEREST RATE PER ANNUM kwa makato yanayofuata mfumo wa REDUCING BALANCE. Vivyo hivyo ni sawa na 125.5% RIBA KWA MWAKA kwa mfumo wa FLAT RATE.

This is Shockingly and unbelievable Interest rate !!!
 
Yes, wamefanya hivyo base lending interest rate....ila rate ni negotiable kutegemeana na mkopaji? ukiwa mkubwa na wao wankuhitaji zaidi kuliko wewe wavyo wahitaji wao mwazungumza na mnakubaliana rate chini ya hapo.
Mkuu hiyo signature yako, imenifurahisha.
 
Back
Top Bottom