Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama uandaaji wa vitabu vya kodi kwa upande wa mfanya biashara je huandaliwa sawa na vitabu/makabati (samahani kwenye A/C ndivyo tulikuwa tunaziita) vya/ya income statement na balance sheet ?? Na...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Wakuu Sina mengi ya kuwachosha nipende kuchukua fursa hii kuwapa Hamasa ndugu zangu; kaka zangu, Dada zangu, mama zangu, Baba zangu nk. Kama Kuna mtu Ana softcopy ya kitabu cha poor dad rich dad...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarin wakuu Kwa anaefaham nauli ikoje anifahamishe kutoka lusaka(zambia) had gaborone(botswana) pia maisha ya botswana yako vp kiujumla,karibun Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
631 Views
The World Food Programme (WFP) yesterday signed a contract to purchase at least 36,000 tonnes of maize from Tanzania at a ceremony that was also witnessed by President Dr. John Pombe Magufuli...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Kwa mujibu wa TCCAA sababu kubwa iliyopelekea kusitishiwa Leseni ni deni la bil.6 inalodaiwa na wadeni wake. Naomba kuuliza kwa mnaofahamu , hivi ATCL iliwalipa kwanza wadeni wake ndo ikaruhusiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nashindwa elewa kwa watu baadhi kwao wazo la biashara eti ni tatizo Wana Jf what is your comment on this
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mauzo ya bidhaa za kitanzania katika nchi za SADC yameripotiwa kuongeza maradufu katika mwaka 2017/18 ikilinganishwa na hapo nyuma, kwa mujibu wa ripoti ya BOT ya economic operations annually ya...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku wanajanvi, Naombeni msaada kwa wanaojua jinsi ya kutengeneza mishumaa, shampoo na sabuni za kipande. Malighlafi zinazohitajika na gharama za...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari Eneo ni tarime mkoa wa mara. Hecta 2 tuu. Asanteni sana. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Jamani wana JF kama naweza kupata mlolongo mzima wa namna ya kupata laini hizi za uwakala, asanteni jumaa njema Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Awali ya yote napenda kumshukuru mola kwa kutufikisha 2019 mimi na wewe unaesoma hapa. Basi niishie hapo na kusema hali ni tete hamna ajila pesa saivi ipo ikulu sasa mie sitaki kusubili nipewe...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Ninampango wa kuanzisha biashara ya kuuza vipodozi lakini sna elimu sahihi. Naomba kama kuna anaeweza kunipa elimu anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
976 Views
Kama heading inavyojieleza wadau nimetafuta ratiba ya maonesho yote ya biashara hapa Tanzania kwa mwaka 2019 ila nimekosa. sasa naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu anijulishe au nipeni list...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Sehemu ninayofanya kazi tuliwahi kufanya kazi na kampuni fulani ya usafirishaji na utoaji mizigo bandarini, kampuni hii ilikuwa ikiendeshwa kifamilia..yaani unakuta Mmiliki ni babu, Meneja Mkuu ni...
13 Reactions
23 Replies
8K Views
Msaada je online survey ni kitu gani na unawezaje kupata pesa ?? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais Dr. Pombe Magufuli katika salaam zake za mwaka mpya wa 2019 kwa wananchi, amesisitiza sana suala la amani na uzalendo kama nyenzo muhimu zitakazoliletea mafanikio makubwa taifa...
1 Reactions
1 Replies
918 Views
Wasalaam Wana jf,nahitaji kujua kilimo Cha hizo Nazi fupi Kama zinakomaa au Ni za kuliwa madafu tu ? Na je Ni wapi kwa hapa dar nitapata Miche na bei gani? Natanguliza shukrani Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba tushirikiane na tupeane ushauri nn cha kufanya mwaka huu: Kwa kifupi mi ni mwajiriwa na mshahara wangu unakaribia mil 2 ila malengo niliyojiwekea ni kama ifuatavyo: 1. Nataka...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jamvi, Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village". Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili...
15 Reactions
194 Replies
67K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…