Equity bank jiekebisheni kuhusu refunds hawataki kunipa pesa yangu sijui mwenzangu huwa unafanyaje

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hawa jamaa ni wat wa ajabu mno
Nimechoka kuvumilia sana toka mwezi wa nane hawataki kunirejeshea pesa zangu wanadai niwatumie email ya uthibitisho ilhali mimi natumia aliexpress refunds huwa hawatumi email
Nilishauriwa nitafute nitumie laptop kusave hizo refund
Mimi laptop sina huku si kunitesa jamani??
Wenzangu huwa mnafanyaje?
 
Kama ambavyo taarifa yako hapa haieleweki

Nadhani malalamiko yako Equity pia hawakuelewi.

Tulia na andika malalamiko ya kueleweka.
 
I recently will open dispute to claim refund using the same bank.. But u have to be claer hawataki kukupa fedha kivipi..
Did refund progress complete, je hela ilitumwa
Hawa jamaa ni wat wa ajabu mno
Nimechoka kuvumilia sana toka mwezi wa nane hawataki kunirejeshea pesa zangu wanadai niwatumie email ya uthibitisho ilhali mimi natumia aliexpress refunds huwa hawatumi email
Nilishauriwa nitafute nitumie laptop kusave hizo refund
Mimi laptop sina huku si kunitesa jamani??
Wenzangu huwa mnafanyaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom