Benki ya FNB imetangaza kuyafunga matawi yake yaliyopo Quality Center (Juni 15, 2019) na Kariakoo (Agosti 15, 2019). Huduma zote zitahamishiwa katika tawi kuu lililopo Mtaa wa Ohio (FNB House).
Ningetaka kufanya duka huko Tanga lakini nina mtaji mdogo ndo maana ninatafuta partner mwenzangu mfanyabiashara kufanya mradi huo nami. Lazima awe mwaminifu.
Wanajamvi inakuwaje Bei ya Bati iko juu mnoo kuliko hata mlima Kilimanjaro? Maana pesa ni ngumu kuipata na ukiipata bei za bidhaa mbalimbali za Ujenzi ikiwemo bati zinakuwa juu mnooo!
Tatizo ni...
Wanajukwaa naomba mnisaidie mfano kama leseni yangu ya biashara niliichukulia Dar na nataka niamishie biashara yangu Arusha ni hatua gan ambazo inabidi nifate na gharama zake inakuwaje
Habari ndugu zangu..
Mimi nimeamua kujishughulisha na biashara ya logo za nguo kama ilivyo African boy ya Jux
Lakini mimi sitaki kujishughulisha na logo moja tu kwasababu nina mawazo mengi...
Ndugu zangu ninakijiwe kinachoniingizia sio chini ya laki 3 kwamwezi, ila nimejiongeza nataka nifungue kijiwe kingine kama hichohicho ili niweke mtu ili niwe navijiwe viwili angalau kwamwezi niwe...
Pengine hili ni swali la kawaida sana na tayari lishaulizwa ila leo mimi natafuta majibu yake
hivi inagharimu kiasi gani kwenda na kurudi china?
Na sasa mtu akishafika China, tuseme Guangzhou...
Habari ndugu zanguni habari ya RAMADAN!! Ninataka kufanya Biashara yoyote ambayo itaniingizia kipato cha ziada najua humu kuna wazoefu wa kutosha naomba msaada wa kimawazo mawazo ya biashara...
HAYAWI hayawi sasa yamekuwa, baada ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), kupewa kibali rasmi cha kuanza safari za ndege zake kwenda nchini India.
Akizungumza na Habarileo jana, Mkurugenzi...
Jamani habari zenu naulizia kwa anaefahamu nahitaji kufahamu gharama za kukodi gari aina ya mende scania muda ni wiki moja tu niifanyie kazi zangu.
Dereva awe wake mwenyewe.
Jee gharama zao zikoje?
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
======
UPDATES:
Hello Hivi punde,
Pole kwa tatizo lililokukuta,tafadhali...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imeanza jitihada za kufuta tozo zote ambazo zinakwamisha mazingira ya ufanyaji wa biashara nchini zikiwemo za pembejeo ili kuwawezesha wafanyabiashara...
Wakuu naulizia bei ya ARTIFICIAL GRASS CARPETS (Makapeti ya nyasi bandia) kwa 1 metre square/ mita 1 ya mraba kwaajili ya Decoration/upambaji. Kwa anaefahamu mahali yanapo patikana kwa bei nafuu...
DODOMA
Location-mtumba
Ukubwa-sqm 1000
Offer- ipo
Bei- 10m
Mkataba-haugharamiwi pesa
Lisiti- unapewa
Gharama za kwenda kuona eneo juu yako.
0715170553
Ofisi ipo Jengo la CCM MKOA
Wadau leo Dr Harison Mwakyembe amehitimisha bajeti yake huku watanzania tukiwa tunaendelea kuibiwa bandarini.
Naomba wale wajuvi wa mambo ya bandari mnisaidie na kuwasaidia watanzania...
Kenya Airways yazidi kuitelekeza Precision Air. Hali yao yazidi kuwa mbaya,wafanyakazi kama isemekano bado hawajalipqa miezi miwili. Wamiliki wa ndege zilizokodiwa wabishia kuzichukua,serikali ya...
Habari za muda Huu wanajamvi! Nafikilia kufanya biashara hiyo ya uuzaji wa vifaa vya baiskeli aina zote. Wenye kuijua waje watujuze faida na changa moto zake, Nawasilisha......