kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 303
- 195
Naomba ajuaye kuhusu kuanza kukatwa makato kama umechukua mkopo has a bank ya abc
Bado![]()
Nimekopa ABC, wameanza kunikata deni hata kabla sijaingiziwa hela
Jamani nimekopa pesa kwenye bank ya ABC lakini nakatwa miezi miwili bila kuingiziwa pesa kwenye akaunti yangu na bado wananipga kalenda et sijatmiza vigezo alafu bado nakatwa.Wanajamvi mwenye uelewa naomba anishauri nifanyeje mm in mtumishi wa umma.www.jamiiforums.com
Je huo mkopo wako walishakupa?
Probably kuna ka-nyongeza[emoji23][emoji848][emoji848][emoji848]Naona mada zinazohusu mikopo zimeshamiri humu ndani..[emoji23][emoji23]