Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini! Jamani naomba kuuliiza hilo!! Inahitajika nini na nini na nikamilishe nini ili niweze kufungua ONLINE TV? -Mahitaji ya vifaa -Mahitaji ya mamlaka serikalini Asante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wamiliki wote wa youtube naitaji msaada wenu Kwa ambaye anauza YouTube account yenye monetization mimi naitaji Pesa ipo mda wowote Tafadhari kwa anae uza naomba tuwasiliane ili tufanye...
1 Reactions
2 Replies
922 Views
Makerekebisho katika chapisho (ERRATA): Jina la creator wa bitcoin ni SATOSHI NAKAMOTO SIO SAKOSHI NAKAMURA kulikuwa na kosa la kiuandishi. Credit to Ngondonyoni Habari ndugu wana JF. Heri ya...
8 Reactions
63 Replies
19K Views
Nifuatiliaje mzuri sana wa soko la Hisa la Dar es Salaam.Naona kwa muda awa miaka miwili kumekuwa na kuanguka sana kwa bei nyingi za Hisa ya makampuni yaliyoko kwenye soko. Sijui haswa ni nini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi hizi habar za edicoin ni za kwel au ndo michezo ya desi tafadhari wa juz naomba msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mkakati mzuri wa sera ya viwanda ya awamu ya tano lipo jambo ambalo naliona muhimu lakini halipewi umuhimu unaostahili. Nchi inaweza kuzalisha na kuuza bidhaa zake sehemu nyingi duniani...
1 Reactions
1 Replies
841 Views
Wadau nipeni ushaur,kuna mtu anataka nisupply bidhaa ZIFUATAZO kwa kiwanda chake, kwa vipimo vya madebe,na bizaa zenyewe ni ULEZI SOYA, UFUTA ,NGANO,MAHIND LISHE,na ameniomba nitaje bei,hvo...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Semina ya mafanikio kupitia biashara mwaka 2015; imebaki siku mbili tu ili uweze kujiunga. Kama unapitia changamoto zozote kwenye biashara yako au hata kama huna changamoto ila ungependa kufikia...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu Leo embu kila mtu aandike aidiaa yake ya biashara moja tu halafu apiteeeee ndukii [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] naamini Kuna mtu tutamkomboaa Naanza Mimi kutoa mchele...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
*NMB Karibu Yako* mikopo kwa watumishi, pia tunanunua mikopo toka benki zingine. - Riba:19% p.a(ilikuwa 22%) - Mkopo:Tsh 50m-Tsh 150m - Kuongeza:Baada ya miezi 6 - Muda:Miezi 72 - Unapata:Ndani ya...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
Wafanyabiashara, wakulima na wajasiliamali agenda yao inafanyiwa kazi mara Kwa mara, mikutano ya kusikiliza kero zao ni mara Kwa mara, na wanaozorotesha biashara zao wanatimuliwa. Ila agenda ya...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:- - Arusha - Kilimanjaro - Tabora - Simiyu - Geita - Kigoma - Lindi - Mtwara - Ruvuma - Bukoba - Mara - zanzibar yote Hiyo...
21 Reactions
226 Replies
51K Views
Habar wana jamii forum mm ni kijana wa kitanzania ninahitaji msaada wa namna gani ninaweza kupata mfadhir au wafadhir wa miradi (project) kutoka ndani au nje ya nchi kwa yeyote anaefaham namna ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu wanajamvi, Mimi ni mtumishi wa umma, Nina mpango wa kufanya biashara kama njia mbadala ya kujiongezea kipato na biashara yangu imejikta katika genge lenye mtizamo kama kwenye...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Hii kampuni mwanzo ilikuwa vizuri mnoo. Uendeshaji wake ulikuwa mzuri sana. Kwa sisi wa Dodoma tulikuwa tunawapenda mnoo ukiachilia mbali kampuni zingine kama Shabibi na Kimbinyiko. Jana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1: "mama kulwa alifungua duka la nguo naona amepata pata,inaonekana linalipa ee?" NDIO ,LINALIPA NA WEWE FUNGUA. 2." A :Uyo mzee wa hapo juu nakwambia kaporomosha ghorofa iyo yani hatari, kwan...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
NATAFTA WANUNUZI WA MAHARAGE YA NJANO YA MBEYA, MAHARAGE MANENE NA MATAMU,KILO 1900TSH,UNAEHITAJ MAWASILIANO 0766089646,KARIBUNI
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha gereji ya chini ya mti/mwembe. Nahitaji kuwa na vitu gani vya kuanzia?
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa... Bado niko njia panda niitumie...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari Kama kichwa kinavojieleza, nahitaji kuanzisha huduma ya kifedha ila sina uzoefu wowote, sina lesen wala tin number! Naomba maelekezo nikihtaji hiv vitu nianzie wap, na gharama zake zipoje...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom