Biashara ya real estate tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya real estate tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by C.T.U, Jul 7, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  wakuu katika pita pita yangu ya hapa na pale katika maisha nilikuwa nafikiria mara mbili mbili kuanzisha biashara ya real estate hapa tanzania mimi naona ni biashara ambayo inalipa kama mtu ukiwa serious sasa kwa kuwa hapa naamini ni home oof great thinkers nikaona nifikishe proposal hapa tuone kama kuna uwezekano wa mm kuanzisha na jinsi biashara inavyolipa, cost zake, budget yake ya biashara n.k..
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... hapa kuna mawili ..... la kwanza ni upande wa wateja wa real estate; kitu kikubwa kinachowawezesha wateja wa nyumba especially residentials ni system ya mortgage finance , sasa hapa kwetu TZ ndiyo inataka kuanza .... pili serikali imekuwa na very poor strategic plan kwenye idara ya urban planning, hakuna future planed towns, suburbs, townships and sub areas ambazo zipo in proper survey and with proposed infrastructures (water & electricity, transport;trains and roads, hospitals, markets, sports etc) ..... miji yote Tanzania imejaa na sehemu nyingi za miji tena mikubwa kama Dar (manzese) utakuta ni unsurveyed,

  hivyo basi lazima uwe na enough resources ukachukue ardhi kubwa nje ya miji ,manispaa au majiji halafu ufanye township/suburb planing pamoja na infrastructures zake ndipo ujenge nyumba, apartments, shops, malls and offices for lease/rent or for sale..... au ununue viwanja kwenye ready developed satelite cities if you like in which the chance is very narrow for now due to small number of lots and high competition (kama vile vya Luguruni: wahindi ndio wameula pale)

  you need big lot of money my bro ..! good business

  unless otherwise i wish you all the best ....
   
 3. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mimi pia ni mdau mkubwa katika eneo hili, .....................ngoja nzunguke kidogo, nitarudi.......................
   
 4. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  if you get that money you will do business in tanzania
   
 5. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Pleaaaseeeeeeeeeeeeee
  Are you asking if $40 Million will be enough???.....unless you meant 40 Tzsh
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu .... good to hear that we now go into figures

  i suggest an average of UDS 600 (ex. dar market price) per square meter of land as a unit factor for real estate development budget, inclusive infrastructures

  one acre = 4047 sqm

  let say we take a land totaling 150 acres, startng at a development rate of 40% of land

  then 60 acres x 4047sqm = 242,820 sqm

  therefore total floor area for development is 242,820 sqm (including high rise storeys)

  242,820 sqm x USD 600 = 145,692,000

  Total investment cost USD 145,692,000

  these are calculations based on many assumptions
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  LAT,Naona umeeleza vizuri inawezekana Architecture and Construction ni fani yako.Real Estate Bangalore, ulizozielezea nadhani ni projects kubwa inaitaji pesa nyingi sana, ebu tujaribu kufahamishana hizi Apartment za kawaida kama zile za pale upanga au pale mbezi beach kuna msomali mmoja uwa anajenga na kuuza
   
 8. m

  mbweta JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wah katika miji inayoanza kukua kama kibaha imepimwa vizur tatizo waweza kwamishwa na ulasim katika serikali yetu watataka mle pamajo mpaka last cent.
   
 9. Rocket

  Rocket Senior Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu hii biashara inalipa sana kama LAT alivyokushauri but location in matter sana in order to get your returns.
  do it mkuu
   
 10. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  du hii imekaa poa sana.
   
 11. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu LAT, shukrani sana kwa maelezo haya mazuri................

  nakumbuka kuna mdau mmoja hapa jamvini aliwahi kusema kuwa construction cost inaweza kuwa TSH 500,000/ per sqm (zaidi kidogo ya USD 300)............... japo najua inflation factor inweza kuongeza hiyo figure hasa kwa hali ya nchi yetu............

  inaonekana ume-assume kuwa properties zitakuwa single storeys na hivyo hizo total sqms zitaenea eneo la 40% 0f 150 acres. ......................nafikiri eneo hilo ni kubwa sana na bei ya plot peke yake inaweza kumcost sana na itapunguza mtaji utakaobaki kwa shughuli ya construction hasa kama atataka kujenga kwenye prime locations.................. pia infrastructure zinakuwa horizontally extended badala ya verically ............. unaweza kutusaidia mchanganuo utakuwaje kama atajenga multi-storeys kwa hali halisi za BOQ za dar (say atahitaji plot yenye ukubwa wa 50 acres)................. na hiyo construction cost per sqm ya USD 600, itaendelea kubaki hivyohivyo?................

  tuko pamoja mkuu
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0


  mkuu

  refer to my post and replies in red

  Bills of Quantities (BOQ) is an extensive document with measured works drawn from construction drwawings

  actually this piece of infromation is called a pre budget forecast that assumes mostly
   
 13. m

  moghaka JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ok, dear colleaques am very interested in this investments kindly lets team up for sharing Information, thank very much
   
 14. babalao

  babalao Forum Spammer

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama mtaji wako ni mdogo anza kununua nyumba za watu waliofulia zinazouzwa na mabenki kwenye mnada (foreclosure) kisha ufanye flipping kuziuza baadaye kwa bei ya soko. Yupo jamaa alinunua property kwa 70 million baada ya miezi 2 kaiuza kwa mill 400. mkakati huu utakusaidia kuongeza mtaji.
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ningeshauri kama unaweza kuanza na small scale properties. Nyumba ndogo sehemu kadhaa kwani eka moja au mbili unaweza kutengeneza nyumba ya kuishi familia kama tatu au nne hivi kila moja ikijitegemea kwa kuwa na 4,4 or 5 units au zaidi. Nimeshaona watu kadhaa wamefanya hivyo na inasaidia kwa walio na familia ndigo na single wanapenda sana hiyo.

  Karibu ya vyuo nako kuna biashara nzuri kwa kujenga nyumba za aina hiyo kwani zitataweza kutumika kama hostel kwa wanafunzi. Biashara hii ni nzuri kwani huwa ni ya single famili na zinafaa kwa siku za mbele biashara ikidoda ni rahisi kughawanya urithi wa watoto wako, kwani kulimbikiza kwenye real estate moja watakuja kukatana mapanga kwa ajili ya urithi kama hawana akili timamu za kutuliza bongo lao.

  Nchi zilizoendelea wanaumia sana na biashara hii ya kujenga compound apartments kwani itakuvimbishia mishipa kichwani utakapokosa watu wa kujaza, kumbuka kupanga nyumba kunatetemea usafiri rahisi, huduma za kijamii, shopping centers na urahisi wa kufika kazini mapema. Si mradi kujenga tu nyumba utakuja kukumbuka majuto ni mjukuu.
   
 16. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii Kama Kuna Viumbe wakitaka iendelezwe! Count Me In. Labda ku brief mambo ni kwamba you cant earn if you dont spend. Money, time and in significant with Knowledge.
   
 17. b

  businezz_oligarch Senior Member

  #17
  Apr 1, 2013
  Joined: Dec 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  One of the best ideas ever concerning real estate...
   
 18. The Giant

  The Giant JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2013
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 485
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  You cannot move on, if you say that money is too big for me to venture. Think how you are going to get it, believe that, It's yours arleady. Real estate ni more than investment product!
   
 19. n

  nyabaheta JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I think u guys are thinking too far ahead,I mean can't one start small,let's say kuna viwanja havijapimwa na vinauzwa kama hatua 30 kwa 30 laki 5,kama mtaji wangu mdogo siwezi kuvikusanya hivi baada ya miaka mitano nikaviuza nikanunua eneo la maana zaidi?hapo imekaaje wakuu?
   
 20. The Giant

  The Giant JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2013
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 485
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Mh, Inategemea na hyo laki 5 umeiweka kwa ajili ya kununua kiwanja au kwa ajili ya kukuza mtaji. Ila kama kwa ajili ya kukuza mtaji kwa miaka mitano, kwa kiwanjo hichohicho utakuwa too slow, unless eneo lako hlo liwe very stragegic baada ya miaka 5. Mi naamini, kuna Business Models tofauti za mtaji kama huo au juu kidgo kwa huo, ambazo zitakusaidia kukusanya hata zaidi ya mara 4 ya pesa utakayopata baada ya kuuza kiwanja hicho baada ya miaka 5. THINK, THINK and THINK MORE, GO DEEP ABOUT IT!
   
Loading...