Mashine ya kukamulia mafuta ya alizeti

Mashine ya kukamulia mafuta ya alizeti

Dj mat

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
747
Reaction score
476
Habari za jioni Wadau! Naomba kufahamu ni wapi hapa Dar huduma ya kukamua na KUCHUJA mafuta ya Alizeti inapatikana.
-Nilipokuwa nafanyia hiyo shughuli Siku za nyuma ,wamehamia mkoani.
Thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom