Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nataka kujua iwapo nanua kitu online mfano Amazon au ali express pengine kinauzwa $50,na nitahitajika kujaza namba za visa card yangu.Nataka kujua mtu hawezi kuzitumia hizo namba za visa card...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu naomba kujuwa ni hatua zipi natakiwa kufuata ili kuweza kushiriki katika maonyesho ya nanenane yaan taratibu za kupata banda nk. nianzie wapi, na kama unajua gharama zake naomba nijuze. ahsante
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wajasiriamali wafanya biashara na wachumi nishaurini kuhusu hii biashara Nina idea ya kufanya biashara ya juice,bites,maziwa fresh,mtindi ,maji ,soda na matunda Kodi ya frem nimeambiwa Ni 50k...
3 Reactions
21 Replies
19K Views
Heshima kwenu nyote. Nina uhitaji wa kufanya biashara ndogondogo ila tatizo mtaji sina hivyo wadau mwenye kazi yoyote naomba anipatie ili nipate mtaji wa kuanzia. Kazi yoyote ya malipo kwa siku...
1 Reactions
66 Replies
5K Views
Tanzania vyombo vya habari havijui kuripoti habari👆👆👆 hata theastafrican newspaper inavishinda. Eti mahakama kuunganishwa na mkongo wa taifa👎👎👎 badala kuchambua upanuzi wa mkongo wa taifa katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa jamaa wametapakaa mitaa yote. Nimejaribu kuwalinganisha na watafutaji wengine hawa wako aggressive na wanakomaa bila aibu wala kujishuku huku wakiwa na sura zilizojaa ari mpya, kasi mpya na...
32 Reactions
62 Replies
10K Views
Habari za siku wakuu , kuna rafiki yangu anataka kunitumia mzigo yuko australia , sasa ni ipi njia salama ya mimi kupata huo mzigo nipo Moshi
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Nawasalimu wote wana jf Nina gari (hiace) ambayo nataka kuitumia kibiashara hapa jikon Dar Naomba ushauri je?!! Naweza kuitumia katika biashara gan jijijin yenye faida atleast kusukuma haya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Niende Moja Moja Kwa Moja kwenye hoja. Kwa Walio na uzoefu na hii kitu, gharama Zake zipoje hasa gharama za uendeshaji (operation cost) 1. Gharama za umeme (basis 1000 blocks) 2. Gharama za...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Ujenzi wa Gati jipya Bandari ya Mtwara ambalo litakuwa na urefu wa mita 300 sawa na urefu wa viwanja vitatu vya mpira wa soka.
3 Reactions
10 Replies
3K Views
kuna simu nataka kununua aliexpress na wasafarishaji wake ni DHL na inaonekana hawa jamaa sifa yao kubwa wako faster sana. wananiambia ndani siku 15 ninakuwa nimeisha ipata simu yangu. na simu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Let's imagine scenario,I have $60 in my pocket.Iam in a new City and i have no friends/connections.I have lots of free time and can see hundreds of people around(I'm in a city). Now how i do get rich?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naitwa Lisa ni mwanafunzi. Nina mawazo matatu ya biashara. 1. Kuuza huduma ya kusafishia masinki ya chooni yenye uchafu sugu pamoja na tiles. Hasahasa kwenye bars, gesti, mashuleni na nyumba za...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwema wakuu. Bila shaka mnamalizia wikiendi kwa utulivu kabisa. Niende kwenye swali langu moja kwa moja kuwa hivi ninapo nunua/agiza body la gari bila chasis kutoka nje ya nchi kuja hapa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tuseme wewe ni mfanyabiashara wa kiume unauza bidhaa au huduma fulani. Unaenda ofisi fulani binafsi au taasisi ili uwin tenda au uuze bidhaa/huduma yako. Unakutana na binti/mdada/mmama ambaye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe ni lazima awe amebobea vizuri kwenye imani fulani(upande wa waganga na wachawi au upande wa Mungu(?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu nimekesha kutwa natafuta MAC VST za logic Bila mafanikio naombeni msaada kwa mtaalamu yoyote aliyena Link Ambazo nitaweza Kupata VST hizo kwa Free kama Wave bundle, Nexus, Contact...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji msaada wa maelezo kwa yeyote anaejua haya makoto. Ipo hivi nilifungua account ya CRDB bank ile ya furahaa account kwa maelezo yao, kuwa haina makato ya kila mwezi, Nikakaa muda...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau nina mtaji wa Tsh 3,000,000 na ninataka nianzishe duka la kuuza vipuri vya magari. Ninapenda biashara hii kwa sababu mimi ni mdau wa magari sana. Naombeni ushauri nianze na bidhaa zipi...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Wadau nauza mashudu ya Alizeti kilo sh 150 kama unachukua mengi zaidi bei inapungua nipigie kwa 0713815403.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…